Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa umeona uje kutapika ushuzi hapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hvi kati ya kenya na tanzania nani ameanza kuingia MLDC, tanzania imeingia 2019 wakat kenya imeingia 2014

tulitegemea kuiona kenya iko mbali zaidi lakini maskini ya Mungu leo hii zimbabawe ina nafuu kuliko kenya according to world bank, hvi ukitumia akili ya kuzaliwa kati ya tanzania na kenya nani anarudi nyuma badala ya kwenda mbele???๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

faida ya GDP iliojaa madeni 86% iko wapi??? Faida ya budget kubwa alaf 85% watu wanakula nyingine madeni kulipa iko wapi??

mkiambiwa ukweli munakasirika munaanza kutoa maneno ya kanga humu ndani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

vumilia tu utazoea๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡View attachment 1814990View attachment 1814991
Semi illiterate ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
That's the pount these lazy bones haven't been able to understand. Sisi tunapimwa kwa kiwango cha less than $3 a day na ndio tunapatikana tuko 20.8m. Wao kipimo kinachotumika kwao ni ile ya less than $1 a day na ndio wanapatikana 28m people. Wajiulize hali ingekuwaje kama kipimo cha $3 ingetumika kwao kama ilivyotumika kwetu. Ufukara wa hali ya juu!
noma, yani shingi mia tu jamani ndio wawe wengi hvo
 
LOL your annual collection is 1 trillion halafu mnakuja na budget ya 4 trillion? Hiyo 1 trillion hata kulipa mishahara tu haitoshi

Kenya hutumia 1.2 trillion kulipa mishahara tu bado kulipa mikopo iliowaganda mpaka matakoni
Sasa ukipunguza idadi ya mapato alafu uongoze ya bajeti ndio na nyie bajeti yenu itaongezeka
Alafu ukumbuke tumetenga ksh 600B kw ajili ya ku service loan, kwanza naskia deni la taifa tz limefikia tsh71trillion
 
Sio bure Black Americans are popping in caravans ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Hii standalone mansion Tanzania anaipata kwa 1 bedroom LA price, kwanini wasije?

Watanzania pia mnasifiwa kwa kujenga mijengo ya adabu

dalalimwokozi_1623397381218_0.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_1.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_2.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_3.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_4.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_5.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_6.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_7.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_8.jpg
dalalimwokozi_1623397381218_9.jpg
 
Sasa ukipunguza idadi ya mapato alafu uongoze ya bajeti ndio na nyie bajeti yenu itaongezeka
Alafu ukumbuke tumetenga ksh 600B kw ajili ya ku service loan, kwanza naskia deni la taifa tz limefikia tsh71trillion
Mmeitenga hiyo pesa muitoe wapi? Mkopo to gdp ratio upo 95% ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Sio bure Black Americans are popping in caravans ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Hii standalone mansion Tanzania anaipata kwa 1 bedroom LA price, kwanini wasije?

Watanzania pia mnasifiwa kwa kujenga mijengo ya adabu

View attachment 1815052View attachment 1815054View attachment 1815058View attachment 1815059View attachment 1815060View attachment 1815061View attachment 1815063View attachment 1815064View attachment 1815065View attachment 1815066
Unataka kulinganisha maisha ya US na Bongo sasa? ๐Ÿ˜‚
 
Sio bure Black Americans are popping in caravans ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Hii standalone mansion Tanzania anaipata kwa 1 bedroom LA price, kwanini wasije?

Watanzania pia mnasifiwa kwa kujenga mijengo ya adabu

View attachment 1815052View attachment 1815054View attachment 1815058View attachment 1815059View attachment 1815060View attachment 1815061View attachment 1815063View attachment 1815064View attachment 1815065View attachment 1815066
Mbona imekaa kama shule
 
Back
Top Bottom