Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
Chinese debt trap
Chinese debt trap
Chinese debt trapThe expressway snaking its way through westy
View attachment 1814065
Sasawa..asante kw ushaurihuo ni ushauri! Libya hakuna utulivu!
We ukitaka sasa lia[emoji1787][emoji1787]Mmeitenga hiyo pesa muitoe wapi? Mkopo to gdp ratio upo 95% [emoji28][emoji28][emoji28]
Yani unataka na sisi tukuonyeshe watu wanao relocate kenya, manake point yako haielewekiWengi wa AAs wameshachoshwa na maisha ya huko Marekani na wengi wa savings kubwa ni kwamba walikua hawajui tu mambo mazuri ya Tanzania
Sasa unamkuta ana savings ya 90k$ au 200k$ akija nayo bongo ni mtu mwingine kabisa thus why wanakuja kwa wingi
Chinese debt trap
Bwahahaa!!kafie mbeleChinese debt trap
Ndo hadi WB itoe pesa
enh hizi megawatts vip mbona kila kukicha miradi mipya
Tzn kuna slums ila sio kwa kiwango hiki,hapa ni picha za ku edit
Ndio maana wako hapo walipo[emoji3][emoji3]View attachment 1815381View attachment 1815382
kenya
-55MW = $135mil = Tsh 310billions
Tanzania
-150MW = $157mil = Tsh 361billions
[emoji1493]♂️[emoji1493]♂️[emoji1493]♂️(wamepigwa cha juu tena na wachina walewale)
enh hizi megawatts vip mbona kila kukicha miradi mipya
Tzn tunasema kuna wapigaji ila Kenya wamezidi yaani nimechekaView attachment 1815381View attachment 1815382
kenya
-55MW = $135mil = Tsh 310billions
Tanzania
-150MW = $157mil = Tsh 361billions
[emoji1493]♂️[emoji1493]♂️[emoji1493]♂️(wamepigwa cha juu tena na wachina walewale)
Kamanda, DazMwalim, BwanaMisosi, Sister P, Queen Dareen, Chief wa Kiumbe, Fid q, AB skills, Joe Makini, Dully sykes, FeruziMrisho, Mwana FA, Ngwair, Zaharan, J-mo, Rich1, AfandeSele, DarScandle, Jaffaray, Doro, BerryBlack/white, Sumalee, MrBlue, TundaMan, HusseinMachozi, P Funk majani, SolidGroundFamily.. nawengine kibao tu! waliendagaapi. walikua machizi wangu ile mbaya!!💥💥Unawajua hadi hao wahuni!??
nangoja povu kuanzia kesho!
huu mradi unakaa kama kwa ajili ya umeme wa ku-heat crude oil ya eacop!View attachment 1815381View attachment 1815382
kenya
-55MW = $135mil = Tsh 310billions
Tanzania
-150MW = $157mil = Tsh 361billions
[emoji1493]♂️[emoji1493]♂️[emoji1493]♂️(wamepigwa cha juu tena na wachina walewale)