Wapo wengine wana mishe zao kama akina j mo,beery black,bwana misosi,tundaman,Hussein machozi yuko Europe,akina blue bado wapo kwenye muziki...tatizo lipo kwa akina daz baba,doro,solid ground family hao wapo wanakula tu cocaine pale temeke...duh uliwahi kukaa bongo nini, maana hadi solid ground family unawajua??!?..unanikumbusha zamani sana,hawa jamaa ndo walifanya muziki akina diamond wanacheza tuDazBaba aka DazMwalim, BwanaMisosi, J-mo, Rich1, AfandeSele,Dudubaya, Jaffaray, Doro, BerryBlack, Sumali, MrBlue, TundaMan, HusseinMachozi, SolidGroundFamily.. nawengine kibao tu! waliendagaapi. walikua machizi ile mbaya!!💥💥
Ukumuelimishe mpumbavu mwenzako sio mimi😂 😂 😂 😂 😂hizi👆👆akili mnazitoaga wapi?😂😂😂.,where did u school mkuu? yaani wengi wenu humu mko ovyo tu sana!,mnachekesha sana😂😂😂😂😂😂, wacha nikuelimishe kama mtoto wa chekechea., baba yako anaweza akakopa hela zaidi ya pato lake ili a meet some needs, kisha kwa mshahara wake anatenga pesa flani kiasi kulipa ile mkopo pole pole, sasa anapofanya budget yake ya mwezi haimaanishi yeye hatakua na hela kabisaa ya ku meet his needs katika budget yake, akisema anatenga pesa flani kwa ajili ya matumizi flani, jua ana maanisha, sio hadithi za vijiweni wewe kilaza ama propaganda za CCM za kujenga kwa "pesa za ndani"😂😂😂, kwa vile kila mwezi baba ako na mapato, na hatumii pato yake yote kulipa deni. Kenya has income from various vyanzo vya kutega uchumi zaidi ya Tanzania mara mbili., stop looking at kenya from Tanzanian poverty lenses.😂😂😂
Sijawahi kuona wa Africa mataahira kama wakenya 🤣🤣🤣View attachment 1815381View attachment 1815382
kenya
-55MW = $135mil = Tsh 310billions
Tanzania
-150MW = $157mil = Tsh 361billions
♂️
♂️
♂️(wamepigwa cha juu tena na wachina walewale)
real Bongo flava ilikua ile ya 2000's.. hii ya sihizi malavidavi, kufloss tu na mabinti na mabugatti. akina diamond hao! haina ladha tenaWapo wengine wana mishe zao kama akina j mo,beery black,bwana misosi,tundaman,Hussein machozi yuko Europe,akina blue bado wapo kwenye muziki...tatizo lipo kwa akina daz baba,doro,solid ground family hao wapo wanakula tu cocaine pale temeke...duh uliwahi kukaa bongo nini, maana hadi solid ground family unawajua??!?..unanikumbusha zamani sana,hawa jamaa ndo walifanya muziki akina diamond wanacheza tu
Wanafananisha Dar na slum City yao, dar ni Green kuliko mji wowote Africa
Kenya kiingereza kinaongewa sana Nairobi na baadhi ya miji yao michache mikubwa. Counties nyingi hasa huko mashinani ni wanaongea vilugha vyao hata hiyo english wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari. Wakija nairobi ndio wanajifunza kuongea Kiingereza. Hata hawa akina Nixcie, Mwathada, Komora, Yosefu Festo, Mbwa Coco wamekuja kujifunza kiingereza baada ya kutoka huko maporini kwao huko walikotoka halafu leo wanajidai wao ni bingwa wa kuongea kiinglishi.Mnataka kusema kila mkenya anajua kiingereza!nishakutana na wakenya kibao abroad hawajui kiingereza
Bado unaendeleza nyege tuUkumuelimishe mpumbavu mwenzako sio mimi
Kenya ni failed and crippled shithole, Hamuwezi hata kulipa mishahara japo budget yenu ni loans 90%
Kwn shule za mashinani kenya elimu inatolewa kw kilugha sio, we kweli tahira mzee..Kenya kiingereza kinaongewa sana Nairobi na baadhi ya miji yao michache mikubwa. Counties nyingi hasa huko mashinani ni wanaongea vilugha vyao hata hiyo english wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari. Wakija nairobi ndio wanajifunza kuongea Kiingereza. Hata hawa akina Nixcie, Mwathada, Komora, Yosefu Festo, Mbwa Coco wamekuja kujifunza kiingereza baada ya kutoka huko maporini kwao huko walikotoka halafu leo wanajidai wao ni bingwa wa kuongea kiinglishi.
Mtwara port cargo capacity 1M tonnes
Over 1 mln tonnes!Mtwara port cargo capacity 1M tonnes
Kenya kiingereza kinaongewa sana Nairobi na baadhi ya miji yao michache mikubwa. Counties nyingi hasa huko mashinani ni wanaongea vilugha vyao hata hiyo english wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari. Wakija nairobi ndio wanajifunza kuongea Kiingereza. Hata hawa akina Nixcie, Mwathada, Komora, Yosefu Festo, Mbwa Coco wamekuja kujifunza kiingereza baada ya kutoka huko maporini kwao huko walikotoka halafu leo wanajidai wao ni bingwa wa kuongea kiinglishi.














