ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ndio maana mzungu hakuoata slum dar alaf akapata za dunia nzima š š š yani maskini wa dar ana maisha mazuri mara 200 kuliko maskini wa nirobi n hilo liko wazi haliitaji ramli mbonaKama hizo ni nyumba za maskini wa Dar bado unachodhitisha ni kwba Dar Ni mji wa masijini kwa sababu hizo nyumba za uswazi ziko kila mahali Dar. Kuna video Fulani niliona ya Oysterbay pembeni ni nyumba za uswazi tupu

