The most diversified economy in East Africa is Tanzania kuna mtu anabisha?Hiyo ni sector 1 tu ya forestry ina billionaires kama wote, bado hatujagusa kilimo, uvuvi, madini, viwanda, usafirishaji, ujenzi, biashara, media dadeq list ni ndefu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi hajui kwenye uvuvi huwa tuna ndege maalum za kusafirisha samaki kutoka Lake zones kwenda mikoani daily na nyingine overseas? Kitu ambacho wao ni ndoto [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa kwa nini tusiwapite kwenye numbers of rich people?