Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kweli hawa watzii wana vijimambo.. eti training ya army wana act marshal art movie ya Shaulin! 😆😆😅
2021_06_02_23.57.01.jpg
 
In fact the Delameres have currently sold most of the Delamere farm. These Tanzanians are idiots. Other than the Finlay farm in Kericho, most of the land owned by white people in Kenya is useless to an average person considering it's mostly in arid areas and requires expensive irrigation to e productive. Waulize how many people in Tanzania can afford this kind of farming?

View attachment 1806117
Wewe huwa una hasira sana kwenye comments zako kwnn lkn? Yn joto limekuwakia mpk kila kitu kwako ni hasira tu
 
kweli hawa waTz wana vijimambo.. eti training ya army wana 'act' movie ya Shaulin! 😆😆😅View attachment 1806489
Wanataka kuwa shaolin wakati wamejaza kilo na kisomo cha shaolin hawana, hicho wamekiiba kwa tamthilia za kichina! 😬😬😬 Real kungfu disciples hao hapo chini! 🤣
Wazee wa kazi sasa hao. Ukifuatilia life history ya kina Donnie yen, Jet Li, Bruce Lee nk, hao wamelelewa kwa kufundishwa vituko vya ngumi hadi kujulikana kwao.
1024px-Shi_DeRu_and_Shi_DeYang.jpg

Mikuki hiyo, dogo amekita ka sio kitu! 🔥
Shaolin_monks.jpg
 
Tumenyamaza kwa sababu mambo ya pre paid water and electricity services most households tuko nazo tuko zamani, most of this services are digitalized here, so ata mnafurahisha nyinyi, kumbe mambo mapya kwenyu? Poleni mazee! 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣 prepaid meters in 2021 so slow.... I personally developed a prepaid monitoring system integrated with MPESA close to 4 years ago
Leta hizo systems hapa tuzione kutoka Kunyaland!

Unafikiri Kenya hatuijui? 😁😁😁
 
Imagine Arusha Ndio Itakuwa Capital ya EAC(As a country) No wonder hizi developments Zote zinafanywa EAC Nzima,Walai Tena Sijui Nani atakuwa President wa United States of EAC🤔😏🤩🔥🔥 Yani interesting Times Ahead,Endeleeni kuchanuana ili kila Nchi ijue weakness yake Ndio irekebishe na Mapema,we don't want any weakness Ahead🙏🔥🔥
 
Back
Top Bottom