Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nadhani utaleta data kumbe ni picha, haya basi fanya haraka
Most recent hii hapa, cha wame include Tz chini kabisa manaake haina tatizo kubwa la njaa, chakushangaza hawajasema tatizo limesababishwa na nini, which means hatuna tatizo la njaa km Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]

 
Ukipata credible source yenye mnarank juu yetu kwa food index usisahau kuniquote.
Ni aibu kuji compare na Tz kwenye food security ni upumbavu[emoji116][emoji116]

 
Huku sie kina choka mbaya tunaoishi uswazi tunamiliki mijengo ya hivi,bongo ujenzi ni simple ndio maana watu awaishi kwenye slums huku



 
Kwa akili yako real estate ni estates tuu ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…