tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Pazuri
Pazuri
Madaraka day ndiyo siku gn au ya uhuru?wanajuta kuzaliwa failed state
Nilikua kibamba juzi watu wamejenga sana majumba haya...sikuwahi kujua ilo nilikua napachukulia Poa tu....Kwenye hii idara I majumba tumetofautiana kitu kimoja tu...
Mkoa gn huo una udongo mwekundu? Umeanza kuokota picha, haya niambie Tz ya wapi hiyo





Magari ya $230M kwa mwaka m1 sio Haba
Hizo taka hapo pembeni inaonekana ni mji mkuu wa nchi fulani wala co kijijini hapo, ss niambie ni Dar ya wapi hiyo yenye dongo jekundu





Vinaendaje?huku mtumba nimeshajisevia kakiwanja kangu
View attachment 1804689
Mambo mazuri
Tutashuhudia hivi karibuni kwenye CECAFA inter clubs.,Mpira wa Tanzania upo juu sana kwa ss hakuna club EA itakuja kufunga zile top four za Tz.
Cku hz mmeona mchukue picha za kwenu mseme ni Dar, ngj nkufundishe kitu wewe na wakunya wenzako, ni kwamba ukiona picha yoyote yenye dongo jekundu juwa kwamba hyo co Dar.Mnapeleka vijiji vyenu mjini Dar, ukweli imekuingia hadi kwa mishipa
.,
Kimbia usije ukajinyea
Somewhere in Dar villages..,Naton Jr:
View attachment 1804671
Dar ndio ina milima na miamba namna hiyo? Mbn hata Wakenya wenzako wanakucheka kmy kmyNormal standards za Dar; nyumba za kawaida Dar.., mashambani in Dar is slum.,
View attachment 1804674
View attachment 1804676
View attachment 1804677
View attachment 1804678






Man Useless usijitetee 😂😂😂😂.,Dar ndio ina milima na miamba namna hiyo? Mbn hata Wakenya wenzako wanakucheka kmy kmy![]()
Nimehifadhi hii☝️☝️ comment.,Mpira wa Tanzania upo juu sana kwa ss hakuna club EA itakuja kufunga zile top four za Tz.
Ipo wapi hii?Nairobi kama hauna hela hamna rangi utaacha kuona...Hii estate beginners hawaiweziView attachment 1805020
NboIpo wapi hii?
real-estates in kenya is just one of its kind in africa. even ahead of SA and egypt.. if u dont believe me.. please just google it!
tupe source!
Huyo ni mbongo mwenzakotupe source!