vijumba kadhaa,,left side,up side ,light side ni pori[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jengeni huo mji wenu bado sanaMnapata na bonus ya pool... Tena hapo mbali sana na Nairobi! Mtp hoyee!
View attachment 1805701
View attachment 1805702
View attachment 1805703
Haha, tulia hapo hapo! 🤣vijumba kadhaa,,left side,up side ,light side ni pori[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jengeni huo mji wenu bado sana
Kumbe hajajenga? 😂Ana yapi huyo hebu tujuze 🤣🤣🤣
75% jangwa alaf 25% inamilikiwa na familia kadhaa tu 🤣🤣🤣🤣 alaf wengine muko kwenye slums zinazomilikiwa na serekali tenaHeri hio jangwa kuliko kukosa kila kitu 😂😂😂😂
Ni panikishwe na KE, haha bado sana.🤣🤣🤣Umepanic sasa 😂😂😂😂
Hakuna FISIEMU huku! 🤣 🤣 🤣75% jangwa alaf 25% inamilikiwa na familia kadhaa tu 🤣🤣🤣🤣 alaf wengine muko kwenye slums zinazomilikiwa na serekali tena
Ccm inawaumiza kichwa siku hzi 🤣🤣 jubilee imeuza nchi kwa wachinaHakuna FISIEMU huku! 🤣 🤣 🤣
Mzee hesabu zako hazieleweki, 75 + 25 si ni mia, sasa hao wengine watokea wapi au ni dar😂😂😂75% jangwa alaf 25% inamilikiwa na familia kadhaa tu 🤣🤣🤣🤣 alaf wengine muko kwenye slums zinazomilikiwa na serekali tena
Kweli kabisa[emoji1787][emoji1787]kuna baadhi ya mafundi furnitures watoto wa keko kibao nawajua wapo nairobi na mombasa wamefungua ofisi za itengenezaji sofa huko aisee wanasema wanapiga pesa kinoma,japo wakenya wengi choka huwa wanashindwa kununua ila wateja wao wakuu ni matajiri yaani wanasiasa na investors
Kwani ni yetu, ni huruma tunawaonea, yaani fisiemu na Kim wa N.K. ni kama mandugu vile kwa mambo ya huko. Naskia watu wanapotezwa siku hizi? 😂Ccm hamuipendi kabisa 🤣🤣🤣🤣
75% jangwa na 25% ambayo ni arable land ni ya wale wale wanaojulikana 🤣🤣🤣🤣Mzee hesabu zako hazieleweki, 75 + 25 si ni mia, sasa hao wengine watokea wapi au ni dar😂😂😂
Keko si inakuumiza sana kumbe, mpka umekuja kulilia sebuleni[emoji1787]Hiyo ni moja ya mbinu ambayo huwa wanaitumia kupunguza maumivu yao.
Ukiona wanapost maelezo mengi na kuandika taarabu ujue ni mbinu ya kupunguza maumivu.
Ukiona wanapost picha za kuokota mitandaoni ujue ni maumivu wanapunguza.
Wabongo punguzeni sindano [emoji23][emoji23][emoji23]
Jubilee imeuza nchi kwa wachina au nadanganya 🤣🤣🤣🤣 mwenzako akasema america atakuja kuwaokoaKwani ni yetu, ni huruma tunawaonea, yaani fisiemu na Kim wa N.K. ni kama madungu vile kwa mambo ya huko. Naskia watu wanapotezwa siku hizi? 😂
Hivi wewe ulishapona majeraha. 🤔🤔🤔Hehe, utafikiri kwa Hitler!!! 🤣 🤣 🤣 Nakuona huyo hapo wewe, unapigishwa chura chura na mume mwanzako, hebu inuka mzikwende ngumi acha uboya! 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 1805759
View attachment 1805760
Kabisa hata we pia ni mmoja waoHakuna kitu utaketa zaidi ya hchi hakuna na owners wake pia wanajulikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante kwa kujijibu!!! 🤣 🤣 🤣 Akili zenyu kumbe rahisi hivyo? 😂 Nilkwambia prof Jay anayo na wengine ka yeye serikalini. Nyie wa kawaida ndo mnapigwa na chini! 🤣Professor jay hajajenga nn ??
View attachment 1805782
Ndio, kwanini iwapokonye ndugu zetu mashamba yao, ama kwa vile wengi wao ni dhaifu😂😂😂 lazima tuwakomboe hata uganda pia tutawakomboa.Ccm hamuipendi kabisa 🤣🤣🤣🤣
Kajilipua bila kujua😂😂😂😂😂 Kim Dawizzy ameingia mtego wako, kazi kwako kumtafuna.Professor jay hajajenga nn ??
View attachment 1805782