Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Agricultural technology in tanzania🇹🇿🇹🇿
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

IMG_20210528_214112.jpg
IMG_20210528_214102.jpg
IMG_20210528_214107.jpg

Kumekucha, Bridges on mombasa southern bypass.
 
Nye nye nye sisi tumesoma hii ndio akili wameende shule hawa🤣🤣👇👇
 
👇👇👇👇👇 yani kenya ni taifa lililofeli
 
Yani walivokosa akili watasema huyu pia kaongea uongo 🤣🤣🤣👇👇👇

Kwa hio mzungu mjinga kueka lockdowns sio😂😂😂 ona sasa nani amekufa buahahahaha😂😂😂
 
Unajua siwaelewi. Tukileta picha za gated communities, hamzitaki. Mnaziita 'estates'. Tukileta picha za apartments, hamzitaki mnaziita 'estates'. Tukileta picha za nyuma moja moja hamzitaki, bado mnasema ni estates. Hivi, mnaelewa neno estate maanake nini? Ama unataka tulete picha za uswazi ndio muone tuko sawa nanyi? Hili swala la residentials hamuweziguza Nairobi hata chembe.

Wenzako walishakubali kitambo sana sasa wewe endelea kujipa matumaini pasipo matumaini


View attachment 1797805View attachment 1797807View attachment 1797808View attachment 1797809View attachment 1797811View attachment 1797813View attachment 1797814View attachment 1797816
Duh 2012 wakati Dar mpya inayowatoa uharo haina hata miaka 7, 2012 kulikuwa hakuna flyover, hakuna BRT, hakuna 3level interchange, hakuna modern bus terminals, umeme connectivity vijijini ilikuwa haijafika hata asilimia 30 now tupo kwenye 70+, huo mwaka kulikuwa hakuna dmdp iliyojenga lami mpk vichochoroni, kulikuwa hakuna the one and only electric sgr in EA, kulikuwa hakuna the mighty kibaha highway, oyaa we jamaa unazingua mana huo mwaka kulikuwa hakuna the most modern airpot in EA a.k.a JNIA

Kulikuwa hakuna kiboko ya Kenya a.k.a Magufuli bus terminal, kulikuwa hakuna modern markets like kisutu, Magomeni etc, kulikuwa hakuna most modern planes yn tulikuwa na ndege moja tu, kulikuwa hakuna modern ferries, kulikuwa hakuna zile towers zinazowaumiza moyo a.k.a blue towers, we jamaa vp wewe

Niendelee? Kulikuwa hakuna the most modern cable stayed bridge in EA like kigamboni bridge, kulikuwa hakuna modern and impressive bridge like Tanzanite bridge, port ya Dar ilikuwa ya kizembe, pale Victoria kulikuwa hovyo kulikuwa hakuna beautiful towers like nowadays, pale Morogoro kulikuwa hakuna new Msamvu bus terminal, yn nikisema unaongelea Tz ya 90s mwaka huu wa 2021 ntakuwa nakosea?

Huo mwaka umeme ulikuwa unakatika katika km nyie kwenu kwa ss, kulikuwa hakuna JNHP, kulikuwa na shida ya maji km ilivyo kwenu kwa ss, unanichukuliaje 2012 we jamaa?

Sisi tuliamua kubadilika na ndiyo maana now unaona maendeleo makubwa co km nyie mlichoachiwa na wazungu mmeamua kukiuwa kabisa kwa uroho, ushenzi, wizi, tamaa na ulimbukeni
 
Sasa unakataa au unabisha ??
hvi ww unafkiri hapa utanidanganya mm 🤣🤣🤣🤣 hio mada siunaona wenzako wamekaa kimya au hujaelewa

Wacha ubishi, leta post ya news zozote za hiyo issue. Unarukaruka nini sasa? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom