Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimegundua watz hapa wanajua kenya ata kunishinda. sijaelewa bado?.🤔 but nadhani hawa ni wale wako kenya kibiashara hivi. nimeanza kuogopa. ntakua na cheza chini ya waba
 
nimegundua watz hapa wanajua kenya ata kunishinda. sijaelewa bado?.[emoji848] but nadhani hawa ni wale wako kenya kibiashara hivi. nimeanza kuogopa. ntakua na cheza chini ya waba
usiogope mzee ojwani,,,,,

kenya ni nchi yako
 
Tanzanians watu hawaishi humu kwenye za aina hii, bongo mzee watu wanaishi ndoto zao, okay okay hii ni dodoma heb pitia hapa . . . Pita humu alafu ujifunze kitu, hii ni Dodoma uko alaf linganisha na maisha ya watu wenu wanaishi kwenye estates, tena uchwara kama hiz ulizopost wewe
 
Kwani unathani Nyinyi Ndio mnaotanga pekee hii Dunia😃Maajabu,eti kuishi ndoto zao!!!😂😂😂😂
 
nimegundua watz hapa wanajua kenya ata kunishinda. sijaelewa bado?.[emoji848] but nadhani hawa ni wale wako kenya kibiashara hivi. nimeanza kuogopa. ntakua na cheza chini ya waba
Wewe mgeni humu tulia, bado hujajua kwnn upo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…