Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ina nguvu hko hko kwenu wala sio kw mataifa yaliogutuka..
Nyie matumizi yenu kajilinganisheni na somalia
Eti ina nguvu, yani nimecheka aisee..elfu moja ya kenya ina nguvu kote kote manake kitu kinachouzwa elfu moja kenya elfu ishirini ya tz hainunui vice verser elfu moja ya kenya inanunua kitu ambacho kinauzwa elfu ishirini tz na unabaki na change..
Sasa hapo ipi yenye nguvu mzee
We kweli fala na hujui mambo ya exchange serices, ukija bongo na elfu 1 yako ya Kenya hupati elfu 23 bali ni elfu 19 bwege wewe.
 
Na hapo umesahau, ukija lazima tukukate kodi km zote so iyo elf 1 ya Kenya itakuwa na faida km atakuwa nayo mTz na sio mkenya na ndiyo maana unaambiwa elfu moja ya Kenya co kitu kwa elfu 10 ya bongo.
 
Sasa wewe mchawi mbona unawashwa na presence yangu hapa?
Wewe Bwana Mapesa ulishastaafu humu ndani, huna hoja tena so pumzika kwanza
Screenshot_20210301-183953.jpg
JamiiForums1259466927.jpg
Screenshot_20210301-142506.jpg
 
Tanzania ina km² ya over 900k
Kenya ina km² ya over 500k

That's almost two times.

Kenya's GDP is $100B
Tanzania GDP is $60B

That's almost two times. Unaona venye akili yako haikusaidii?
Umeona ss ndo mana unaambiwa upumzke mana tangu umejifungua akili zako zimekuwa hovyo kabisa, ss economy ya Kenya imefikisha lini $100b?
 
We kweli fala na hujui mambo ya exchange serices, ukija bongo na elfu 1 yako ya Kenya hupati elfu 23 bali ni elfu 19 bwege wewe.
Venye tu nilisema kuwa watanzania wengi ni wafala. Wewe hata hujui kuwa 1ksh ni 22tsh.
 
Hiyo ni pesa ambayo wewe ukitaka kununua ksh kwa hapa Tz lkn km unataka ku change ili upate tsh kwa hapa Tz unapata elf 19 lkn pia km utakuwa ni mkenya tutakuwa tumekukata kodi nyingi sana so unabakiwa na chupi yako tu na maisha yanaendelea kuwa magumu km ulipokuwa huko kwenu
 
Sawa dalali wa noti, wewe na wale wasonjo wa exchange hakuna tofauti! 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom