Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

only nairobi and johannesburg are placed at one tier as top two most competitive Tech-giants in the entire continent. zuckerberg even had to pay us visit to see how we go about this things at iHub studios, Upperhill
2021_05_28_03.01.07.jpg
zuckerberg3.jpg
zuckerberg8.jpg
zuckerberg5.jpg
zuckerberg1.jpg
zuckerberg4.jpg
zuckerberg7.jpg
zuckerberg6.jpg
ugali+samaki+sukumawiki+kachumbari

zuckerberg2.jpg
 
nyinyi ni wageni wawili[emoji111] tu! dangote na billgates,..
acha bado nifanye upekuzi ya watu mashuhuri walio wahizuru hapa nchini kenya
Dangote ametoa ajira nyingi sana kwa Watanzania na bado anaendelea kutoa.

Vipi huyo zuck ametoa ajira ngapi kwa wakunya? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Venye mdai nyie sio wakabila[emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio ni kweli sisi sio wakabila.
Sijawahi kubaguliwa kisa kabila langu.
Sijawahi kosa kazi kisa kabila langu.
Sijawahi cheleweshewa huduma kisa kabila langu.

Tabia za kikuyu na jaluo huwa hazibadiliki miaka nenda rudi ndio maana kwa kuangalia tu humu unaweza gundua huyu ni kikuyu na yule ni jaluo.
 
Sisi si wakabila Ni kupenda tunapenda Lugha Zetu Sana,si Kama TZ kila mtu aligeuzwa na Nyerere Mukawa waswahili wote😃
 
Sisi si wakabila Ni kupenda tunapenda Lugha Zetu Sana,si Kama TZ kila mtu aligeuzwa na Nyerere Mukawa waswahili wote[emoji2]
Kupenda lugha zenu ndo mchinjane?

Kupenda lugha zenu ndo mbaguane?

Stupid reply.

Kwamba mlidanganywa kuwa Watanzania hatufahamu lugha zetu za kikabila ili muone ukabila ni sawa!
 
Kupenda lugha zenu ndo mchinjane?

Kupenda lugha zenu ndo mbaguane?

Stupid reply.

Kwamba mlidanganywa kuwa Watanzania hatufahamu lugha zetu za kikabila ili muone ukabila ni sawa!
Heri sisi Nyinyi mumeishi kukaliwa na kupigwa miaka nenda miaka Rudi na CCM #Chama Cha Kisukuma😂😂😂atleast Kenya Ni Raia wanapigana na si Jeshi ya Sukuma
 
Heri sisi Nyinyi mumeishi kukaliwa na kupigwa miaka nenda miaka Rudi na CCM #Chama Cha Kisukuma[emoji23][emoji23][emoji23]atleast Kenya Ni Raia wanapigana na si Jeshi ya Sukuma
CCM ina wanachama wa makabila mbalimbali sio kama Jubilee ya wakikuyu na odm ya wajaluo.

CCM ikiletwa kutawala kenya ndani ya muda mfupi tu mnasahau ukabila.

CCM ndo huwa inakuja kuwapatanisha mkichinjana ovyo kwenye chaguzi zenu na next year mkichinjana itakuja tena.

Katika vitu nimekuuliza hakuna chochote ulichojibu zaidi ya kuandika ujinga kama kawaida ya mapo po ma ya kikunya.
 
Wacha urongo Mbona maendeleo yote yanapelekewa Wasukuma Kama sio Tribalism,kwanza Nyinyi mumeishi kuongozwa kwa Kifua😃
 
Back
Top Bottom