Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu kwanza Barabara na Reli zinaelekezwa wapi??
Mikoa yote ya Tanzania imeunganishwa kwa barabara za lami.

Reli inatoka Dar es salaam, Morogoro kisha Dodoma, Tabora, Kanda ya ziwa na kuunganishwa na nchi Jirani.

Au ulitaka iwe reli to nowhere kama ya failed state?
 
IMG_20210528_095312.jpg

Bowsar la maji lileee...
 
Update: BRT Kenya





MY TAKE
Naomba kuuliza hapo median section mtu wa wheel chair anashuka au kupanda vp?
 
In authorised
Update: BRT Kenya





MY TAKE
Naomba kuuliza hapo median section mtu wa wheel chair anashuka au kupanda vp?

Nashangaa Unauthorised personnel wanawezane ingia construction site na kupifa picha...
 
looks like Rwanda wanataka kuspecialize in Basketball sport over football sport ..
Nature ya urefu inawabeba hasa kwenye huo mchezo kama wakiamua kweli watatoboa kikwelikweli.
Mana mchezo huo hahutaji watu kama kina ngasa.[emoji16]
 
Karen unafananisha na masaki 🤣🤣🤣 mwenzako anakwambia area ilikua ya whites then ikachukuliwa na wajanja wachache wakajenga estates na kuwakodishia matajiri 🤣🤣🤣 tukikwambia leta dream house za matajiri wenu waliojenga wenyewe hamuna, munaanza kuleta habari ya dream car
Karen ni ya whites tu
Hawajawahi kuachia ardhi yao
89% ya Karen residents ni Europeans
 
Back
Top Bottom