Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania doubled that size of your whole joint venture and we're not even bragging

We're connecting to the rest of SADC Community
my brother unaota!. kenya installed capacity stands at 2651mw, and tanzania only 1,513mw, uganda 850mw... 🤔 yatafakari hayo
2021_05_26_17.10.59.jpg
2021_05_26_17.57.49.jpg
and please beware that our Nuclear Plant is on the way. tz mtatuonea pembeni.. i always tell you pipo, kenya is ahead of tz in each and every aspect, but hawaskii. sijui tutawaeleza vipi


TZ👇👇
2021_05_26_17.10.33.jpg




UG👇👇
2021_05_26_17.09.49.jpg
 
wewe naona mdomo umejaa mavi sasa, Fumba Town inajengwa na kampuni ya Kikenya? Si ya Kijerumani? Na Bakhresa Group imekuwa Kenyan?

What is Kenyan here?








Wacha kunya kupitia huo mdomoni!

Wakunya wajinga sana bro
 
Akili zako za kichang'aa zinakuaminisha kabisa uganda imeipita Tanzania kwenye middle class population!
Hayo sio maneno yangu. Uliza hilo swali wale walitoa hizo taarifa. Si nyinyi ndio husema mzungu ana akili?
 
my brother unaota!. kenya installed capicity stands at 2651mw, almost at par with the whole nigeria with 210M population at 3,200mw. and tanzania only 1,520mw, uganda 600mw... 🤔 yatafakari hayo
Mzee naongelea 400mw grid mwenzako aliyokua akibrag nayo hapa, kama hii

images - 2021-05-26T170953.299.jpeg
images - 2021-05-26T170934.610.jpeg



About megawatts productions

Tunazalisha zaidi ya 2000MW on grid

Off grid through natural gas directly kwenye viwanda ni zaidi ya 1500mw (viwanda vyote vikubwa Tanzania vinatumia natural gas, sio on grid power) so this too must be included

Tuna on going projects za kuzalisha zaidi ya megawatts 4000 up to 2022,

Ninyi na hivyo vimegawatts vyenu 2500 ni vichekesho 😅😅😅
 
Usisahau kwamba runda ni sehemu ndogo tu ya jiji. ..wakazi wa jiji ni wengi sana kumiliki nyumba jijini sio kazi ndogo esp nyumba yenye kiwango. ..issue Ni je unaweza nunua Au kujenga mwenyewe
Sehemu kubwa ya Nairobi ni ya watu wanaomiliki nyumba zao sii Runda tuu, naweza kutajia mitaa ya Nairobi isiyoweza kuhesabiwa iliyo na nyumba zinazomilikiwa. Mimi mwenyewe mjengo wangu karibu naanza maanake ploti nishapata. Sehemu za Rongai, Kahawe Sukari, Syokimau, Kitengela, Athi River, Ruaka, Kikuyu, Ngong, Ruai, Ruiru, Uthiru, Kamulu n.k ammbazo ziko nje ya Nairobi City but within Nairobi metro ni hot cake ya wanaojijengea nyumba kwa mfano. Halafu Estate za hadhi ya juu za Nairobi zote ni 80% kumilikiwa na wanoishi. Hizi ni kama Muthaiga, Karen, Kitisuru, Runda, Ridgeways, Springvalley, Karen, Woodley, Lavington, Westlands, Loresho, Kyuna etc. Sehemu za Upper Middle Class ni kama 40% ownership k.v Kilimani, Kileleshwa, Langata, Parklands, Upperhill n.k. Middle class vile vile about 40% ownership, k.v South B, South C, Buruburu, Nyayo, Komarock n.k. Ni lower middle class ambapo 95% ni wapangaji.

Furthermore, I would rather rent a decent house with modern fixtures than build a substandard house with poor finishing just because I want to own one. Let me rent and save until I can build or buy a real dream house.
 
Mzee naongelea 400mw grid mwenzako aliyokua akibrag nayo hapa, kama hii

View attachment 1798389View attachment 1798391


About megawatts productions

Tunazalisha zaidi ya 2000MW on grid

Off grid through natural gas directly kwenye viwanda ni zaidi ya 1500mw (viwanda vyote vikubwa Tanzania vinatumia natural gas, sio on grid power) so this too must be included

Tuna on going projects za kuzalisha zaidi ya megawatts 4000 up to 2022,

Ninyi na hivyo vimegawatts vyenu 2500 ni vichekesho 😅😅😅
2021_05_26_17.10.33.jpg
penda usipende, hii ndio yoooote!... tanzania ina produce (1,513mw). source of this information ni UN
 
Huu mchanga ndio unaita zege boss? Ni macho huna ama ni akili? 🤣 🤣 🤣

View attachment 1798200


Budaboss, hamna barabara hata moja hapo iliyo na zege au lami. Zote ni udongo unless unataka ubishi tu.

2787680_1.jpg
Hamna zege humo wala udongo kama unavyojidanganya .. okay okay, siitaji maneno mengi kueleza hapo panafananaje, hii apa down town MASAKI 👇. Alaf utaniambia umeona hata chochoro ya barabara ambayo siyo paved..?
 
Huu mchanga ndio unaita zege boss? Ni macho huna ama ni akili? 🤣 🤣 🤣

View attachment 1798200


Budaboss, hamna barabara hata moja hapo iliyo na zege au lami. Zote ni udongo unless unataka ubishi tu.

2787680_1.jpg
😂😂😂 Ila Kenyans bhana eti wote tayari wamejiridhisha eti Masaki ndio pako hiv na hakuna hata lami 😂😂😂 WTF rich neighborhood alaf pasiwe na lami eti 😂😂.. haya namalizia kutengeza video ya downtown MASAKI yote Ili mjionee mitaa yote hiyo inafafanaje.je ni kweli hakuna lami wala zege.? Stay tuned
 
Back
Top Bottom