Hii sio mbaya let them wamalize miradi iliyokuwa stagnant maana kiuchumi hai-make sense jengo kama la Morocco Square kuachwa bila kumaliziwa maana lita-deteriorate! Ila masithubutu kuanza miradi mipya wakati Real Estate occupancy ya Dar ipo chini ya 50%! Waangalie kujenga makazi sehemu zenye uhitaji haswa Dodoma! Huku Dar kazi yao ibaki ku-market miradi yao mpaka ocuupancy ivuke 70%!
Pia serikali imalizie all the 6 phases za BRT na pia ile +100km super Highway Chalinze-Dar kwanza; maana mshika mawili moja humponyoka!