Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kwa wale wanaoichukia Kenya itabidi mjinyonge tu maana maendeleo yanazidi kufanyika huku. Sasa tunajitayarisha kuzindua nyaya za umeme kutoka Kenya hadi Ethiopia. Wenye wivu wajinyonge
Yani mnauziwa umeme na waithopia unakuja kujitamba hapa 😅😅😅













tafadhali sn hapa ni uswazi ndani ndani kabisa kudadadeki kwnn msitamani kuwa watanzania 