Oysterbay yenyewe haifikii hata Kilimani wakati Kilimani haingii top 20 Nairobi kwa residential areas kali.![]()
![]()
![]()




ulevi uliopitiliza ni hatari kwa afya yako...Mabibo is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania.Aisee lipi ni lipi?![]()
Itapendeza.waweke double lanes kama inawezekana, ni pafupi afu kuko busy
Pakawaida ndio lakin nyumba ziko kwenye mpangilio na hazifanani...barabara zipo lami na kila kitu kipo...Mbezi beach chini ndio pamenoga zaidi
nilikoseq mkuu ipo kinondoniAisee lipi ni lipi?![]()
Kwa hizo sehemu zote umetaja, labda Lavington tu. Hizo zingine zote hawana cha kufananisha nayo.Mbona zinanikalia za kawaida sana. Hivi Dar kuna estate yoyote unayoweza kulinganisha na Muthaiga, Karen, Runda, Muthangari, Springvalley, Riverside, Kitisuru, Ridgeways, Gigiri ama Lavington?
Very true. 🤣 🤣 🤣Kwa hizo sehemu zote umetaja, labda Lavington tu. Hizo zingine zote hawana cha kufananisha nayo.
View attachment 1794998
That's all I wanted to knowni mitaa majiran, mpaka wao upo hapo.. ni kama wew chumba chako na choo chako cha nje
Magomeni kagera after zooming 🤣🤣🤣Dar nzima ingekuwa inafanana hivyo hiyo kelele yenu ya dreamhouses ingesikika. Unfortunately, that's not the case. More than half of Dar looks like this image below and that's why we refer to thse shanties as your dreamhouses coz these are the type of houses that majoritybof dar residents live in (the so called dreamhouses) including many of you who make noise in here
View attachment 1794873
And have we forgotten that Mbezi you posted is one of the affluent neighborhooslds in Dar? One of the areas where the rich live? 😂 😂 😂 The equivalent of Rundas, Lower Kabetes, Gigiris and Kyunas of Nairobi?
Kwasababu nawapa ukweli 🤣🤣🤣 kwamba leo hii kajiadoo sio county sasa kazi ya bunge la kajiadoo ni nn na mbuge wake??🤣🤣🤣Achana naye mzee huyo, jamaa kaamua kujitia utahira iki tu avuruge mada..yani analazimisha metro ifanane na county mazee..
Mpuuze tu
Ww ulitaka iwe wapi victoria ni ward kubwa sana mzee mkiambiwa dar ni kubwa mara tatu muelewe🤣🤣🤣Hiyo Victoria iko wapi kama si Bagamoyo road? Na kijitonyama iko wapi kama sio Bagamoyo road?
Ananunua kwa pesa gani?? Wakat most of them wame rent au ww unatak kutufanya wageni humu ndani ??🤣🤣🤣 au nyinyi mkiweza kurent bedsitter munajiona kama ni middle class???nyumba kutofanana haimaanishi ni za high quality. Halafu kuna estates zilizokuwa developed na developers na Estates ambazo mtu ananunua pake anajijengea. Zilizofanywa na developers huwa zimefanana. Ila ninachojua, kwa estates za hadhi ya juu Dar iko nyuma sana ya Nairobi maanake hapo Masaki/Oysterbay ndio the highest end neighborhood in Dar yet ukiileta Nairobi hata top 10 haionekani.
Wanarekibisha Barbara za mitaani tuu dmdp iyoWanajenga nn hapa mkuu.
Hio magomeni yenyewe anaijua basi 🤣🤣 magomeni kuna magorofa kama yote kuna nyumba za adabu kama zoteKwahyo wewe ndio unajua sana Au vp...
Maeneo mengi yako hivi...wacha kua mjuaji tulia ujuzwe...do you expect watu million 5 wote wakaishi magomeni,manzese and the likes ambapo kulishajaa nyumba tangu kitambo?View attachment 1794890
Tufanane na nyie mama yangu 🤣🤣🤣 yani sisi tufanane na mji wenye slums zaidi ya 20 acha masihara kabisa broHawa wanataka tu tufanane nao and then hawana exposure pia. Wanafikiri life starts and ends in Dar. Cities all over the world are trying to maintain and even cone up with new green spaces wao wanataka tutoe green spaces