Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Those are not forests kijana wa Tandale. Those are green spaces, and there are very nice houses there in tranquil, green and quite environment. Birds chirping and and the wind blowing sending a cool breeze your way! Driving along tree-lined avenues with lush green manicured gardens. Who doesn't want that? Usilazimisha tufanane. Look at New York below kisha utuondolee ufalamanga wenu!
View attachment 1794922View attachment 1794925View attachment 1794928View attachment 1794929
Trees Ni nzuri na zinapendeza sana mkuu hilo halina ubishi.....
Msiwahi understumate Dar es salaam
images%20(6).jpeg
tapatalk_1621700508147.jpeg
tapatalk_1621190216723.jpeg
tapatalk_1621631821538.jpeg
DJI_0095.jpg
 
Ni kama kuchukua Kileleshwa as representative of Nairobi. 🤣 🤣 🤣
Wanatuona sisi wajinga sana. Eti sasa tulete picha ya Kileleshwa ama Lavington hapa alafu tuaminishe watu eti Nairobi yote inafanana hivyo! And then have you realized that hata hiyo Mbezi hao ni sehemu ya kawaida sana? Kuna time nimeona wakipost picha za Masaki (the best neighborhood in Dar) and I couldn't tell the differences between it na Lavington
 
Picha aliyoleta Tuusan na kusema Victoria I was able to see a few buildings that I have always known to be in Kijitonyama. Inawezekana majina ndio tofauti but this is just one place kwa sababu kama si hivyo nisingeweza kuona yale majumba ya Kijitonyama kwenye picha ya Victoria
Najua lengo lako ila utaumia sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanatuona sisi wajinga sana. Eti sasa tulete picha ya Kileleshwa ama Lavington hapa alafu tuaminishe watu eti Nairobi yote inafanana hivyo! And then have you realized that hata hiyo Mbezi hao ni sehemu ya kawaida sana? Kuna time nimeona wakipost picha za Masaki (the best neighborhood in Dar) and I couldn't tell the differences between it na Lavington
Alafu hawajui High End Residential areas hua hazina manyumba ya gorofa sababu ya privacy na security.
 
I have tried telling them this but hawaelewi. Masaki imejaa apartments kila corner yet it's Dar's crème de la crème 😂 😂 😂
That's why I always compare it to Lavington
 
Picha aliyoleta Tuusan na kusema Victoria I was able to see a few buildings that I have always known to be in Kijitonyama. Inawezekana majina ndio tofauti but this is just one place kwa sababu kama si hivyo nisingeweza kuona yale majumba ya Kijitonyama kwenye picha ya Victoria

ni mitaa majiran, mpaka wao upo hapo.. ni kama wew chumba chako na choo chako cha nje
 
Wanatuona sisi wajinga sana. Eti sasa tulete picha ya Kileleshwa ama Lavington hapa alafu tuaminishe watu eti Nairobi yote inafanana hivyo! And then have you realized that hata hiyo Mbezi hao ni sehemu ya kawaida sana? Kuna time nimeona wakipost picha za Masaki (the best neighborhood in Dar) and I couldn't tell the differences between it na Lavington
Oysterbay yenyewe haifikii hata Kilimani wakati Kilimani haingii top 20 Nairobi kwa residential areas kali. 🤣 🤣 🤣
 
Umebadilisha gear? Sasa sio forests tena? Sawa basi tuanze na golf courses?
mtaishia kupost estate tu ambazo wanamiliki watu wawili watatu au kampuni mbali na hapo hamna cha kupost[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom