Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Mwenzako aliitisha battle ya green spaces nikamwabia tuanze na golf courses akashindwa kujibu. Kwani golf course ni estate? Tuliza kendemtaishia kupost estate tu ambazo wanamiliki watu wawili watatu au kampuni mbali na hapo hamna cha kupost![]()









