ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nimiliki kama nani ikiwa mkenya kama ww huna ndoto ??🤣🤣🤣🤣Vipi ule mpango wako wa kununua plot katika maeneo ya nairobi metro[emoji23][emoji23]
Nimiliki kama nani ikiwa mkenya kama ww huna ndoto ??🤣🤣🤣🤣Vipi ule mpango wako wa kununua plot katika maeneo ya nairobi metro[emoji23][emoji23]
Imekwisha vp hebu tuelezeee mm sijawah kuona taasisi za serekali kama mbunge au mikutano ya wizara wakivaa barakoa hebu elezea uweleweke🤣🤣🤣🤣 ngoja mechi ya simba kesho tuone watu watavaaTanzania kwishaaa[emoji23][emoji23]rais keshasema barakoa ndio habari ya mjini...labda afe basi ndio aje mwngine ambae atakataa uvaaji wa barakoa km marehemu
Niaminishe mm kua metro ni county ??🤣🤣 Nifunge acc sasa hvi kwani kenha hawana budget??Nionyeshe mbunge wowote yule nchi yyte duniani amabae anawakilisha metro[emoji23][emoji23]
We kumbe mbweha sana, hapa hta unengue kiasi gani hitoki[emoji1787][emoji1787]
Je unapinga bajeti ya NMS[emoji23][emoji23]
Kilaza wahedi
nyuma ya hapo nairobi ni vichaka ,misituPicha ya mwaka 2007 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata CBD haijajengeka ipasavyo watu hawajajenga panavotakiwa wewe unatuletea picha imepigwa umbali wa km 50 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] are u even serious ??? Au ni hasira
Angali hii picha iko very near nn unaona hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1792503
Rudi kwenye mada is metro a county??? Na kama sio basi acha kiambu na machakos zifanye kazi yake kama county😃😃😃😃Kumbe unaumizwa na huyu mwamba[emoji1787][emoji1787]
Yeneral badi sindano hyo[emoji2960][emoji2960]View attachment 1792886View attachment 1792887
Naona hawavai 🤣🤣👇👇👇Hta kenya bungeni hawavai[emoji1787][emoji1787]
Bado unandoto za kushindana na dar 🤣🤣 yani umekosa ndoto ya kumiliki ardhi bado unandoto ya kushindana na dar🤣🤣ichoboy01 dar levels zake bujumbura, nataka leo nikutoe matongotongo, kilaza mkubwa wewe[emoji1787][emoji1787]
Yani unaumizwa na kenya sana mzee kumbeView attachment 1792896
🤣🤣🤣🤣 ujue karamba dawa kisawasawaMpk leo bado unatumia wikipedia as ur source?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇rudi hapa sikuhzi kenya munafananisha na USANjoo upinge kilaza jichoboi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]leo lazima zitakukaa sawa tu
New york metro hyo, jamaa anataka kulinganisha county/state na metro..
Soma vizuri zikukae sawa, mbweha wewe[emoji1787]
Mjusi wa kike weweView attachment 1792902View attachment 1792904View attachment 1792905
Nikatae nn kwamba machakos na kiambu sio counties ama 🤣🤣🤣Msaidie mwenzako please[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo unakataa
Yani hapo tafuta makosa uyaleta mzee[emoji1787]
Don YF sio mm usinikasirikie bro ni world bank 🤣🤣🤣 hakuna janjaSasa world bank walikosea ama 🤣🤣👇👇
Ongea taratibu plz bila hasira kuna wagonjwa humu plz plz 😄😄😄😄
View attachment 1792784
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank
Zimbabwe has 23 percent of its population living in extreme poverty.www.kenyans.co.ke
Homepage
Kenyan News - online daily post newspaper on latest world, Africa, Kenya news. Today top, breaking news on local & national scene. Videos, Photos. Kenya television (TV) stations live stream, Listen to Kenya radio stations live online. News on: politics, entertainment, business, technology...kenyannews.co.ke
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty – World Bank
Kenya has been ranked as the third poorest lower-middle-income country globally according to the latest report released by the World Bank titled State of Economnairobitimes.co.ke
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank Report » MCMNT
Kenya has been ranked as the third poorest lower-middle-income country globally according to the latest report released by the World...mcmnt.com
View attachment 1792790
![]()
World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza
Hapo ni Kibera Nairobi. Ni Nyumba yako na mume wako. Wewe ni fukara wa kutupwa. Sasa kumtusi imebadilisha ukweli wowote kuhusu hiyo taarifa aliyoleta Kutoka World Bank? Ukweli Ni kwamba extreme poverty iko juu Tanzania kuliko Kenyawww.jamiiforums.com
Unanilaumu mm tena 🤣🤣🤣 munanichukia kisa nawapa ukweli amaIchofala
One pic is enough thanks bro🤣🤣🤣please note that this is not LA! but a city in the eastern end of africaView attachment 1792929
View attachment 1792922View attachment 1792921View attachment 1792930View attachment 1792940View attachment 1792941View attachment 1792942View attachment 1792926
Hata ukija uswazi kupo hivi yn decent houses despite the so called unplanned settlement na ndiyo kitu tunapiga kelele kwamba hakipaswi kufumbiwa macho, but kwenye makazi aisee mtasubiri sana cz Tz ujenzi ni bei rahisi mno kulinganisha na vinchi vingine vya EA[emoji116][emoji116]Dar es Salaam , of course 90% of Dar looks like this, we build our dream houses and live our own life. We are free men.
View attachment 1793295View attachment 1793297
Kwann unapanic mzee 🤣🤣 usiwe na hasiraPlease don't quote me utaniambukiza ujinga na sitaki
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇hasira za nn😂😂
Umedanganya,,where is kilimani?,,where is Ngara and Eastlands which is 60% of Nairobi😂🙄🙄?naona we hujui Nairobi
Tumia macho kwanza kabla hujaruhusu hasira 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇SGR Yenu ya Makufuli ilifika mpaka wapi😆Usiongelele ambacho huna,na Huwezi kufika Bei🤪Reli yetu inapiga Shughuli na Biashara inakua kabisa🔥🇰🇪🔥mpaka Uganda🔥🔥Tunaelekea DRC🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
Niliwaambia hapa politicians ndio mtu anaweza kua na ndoto ya kumiliki plots na majumba nairobi lakini wale 85% wasubiri dunia iumbwe tena 🤣🤣🤣🤣🤣Wamejazana humu wanapunguza stress, wana maisha magumu sana..Kina Gideon Moi ni mabilionea huko Baringo.