🤣 wakunya bhana, mpaka huruma. hawana forum yao kutwa jamii forum lasivyo twitter(#KOT) na kizungu kiingi dunia inawachora tuu walivyo wazamiaji kila mahala mpka kwenye forum za nchi za watu. If you are a Kenyan think twice😂😂Wamejazana humu wanapunguza stress, wana maisha magumu sana..Kina Gideon Moi ni mabilionea huko Baringo.