Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Drinking some sweet cold beer while Watching Live Azam FC Vs Biashara United maeneo fulani Jijini Daslamu, Jiji la Maraha
When does the Premier League Matches in poor Kenya take place?
I have no Idea,
This is Azam Fc Stadium in Dar,
View attachment 1791971View attachment 1791972View attachment 1791973View attachment 1791974View attachment 1791975View attachment 1791976View attachment 1791977View attachment 1791978View attachment 1791979
hatar chief mambo yamenoga
 
67800E35-AB82-4DA5-B28F-B9C6CB215D88.jpeg
 
mkuu yanasaidia sana haya.. hilo eneo hakuna taa.. mnaweza kuparamiana hasa usiku.. kuna siku nilikuwa naendesha saa kumi usiku/asubuhi ndo nikaona umuhimu wake.. ase watu wako fasta hio barabara
Oooh!ni kweli bro,nilikua sijaling'amua hilo kiongozi
 
Twende pole pole school dropout, hii ndo maana ya metropolitan, soma ukielewa niquote tuendelee na somo.😂😂😂View attachment 1791547
To nearly town and cities 🤣🤣🤣 labda mm niwe sijaelewa 🤣🤣🤣🤣

mm navojua kiambu ni county inayojitegemea ina gavana wake ina mbunge wake ina parliament au mm nasema uongo 😅😅😅😅😅😅😅😅

mada ya kwanza imekutoa nyongo sasa umehamia huku 😅😅😅😅
 
Hata NMS ana mgao wake au na mi nasema uongo
Emu nishike nikuone jomba, pinga chothara nikuone mnenguaji..
Usipopinga hii nitakushangaa sana walai, hata nitaacha ku argue na wewe
Hebu nijibu swali kiambu ni county sio county??? 🤣🤣🤣🤣 alaf twende taratibu manake naona kama presha inakupanda bure tu
 
Naona msemaji wa wakenya
Nairobi watatamani wasiokua na kwao kumiliki ardhi eti ili waishi
Pale ni business hub ndio ukatamani umiliki ardhi ili uishi, sanata snaa mnenguaji jichoboi

Alafu baada ya kwenda google na kujionea bei za ardhi katika hayo maeneo ukaamua kupindisha mada
Narudia tena, we huna uwezo wa kumiliki ardhi kw hzo metro area
Ww hutakan kumiliki ardhi nairobi ?? Hebu jibu na ww tuskie 🤣🤣🤣🤣 au ndoto huna kabisa basi hata nidanganye unataman au hutaman

mm hua sipindishi mada mm hua nanyooka mazima tatizo munanichukia bure tu😅😅
 
Sai ni mwendo wa barakoa tu
Tanzania rais ndio kila kitu, akiingia mwngine apinge wataacha kuvaa..
Nchi ambayo inaendeshwa na mhimili mmoja tu
Si kuna wageni wamekuja kutoka uganda au ni namna gani ??🤣🤣🤣
 
Hii kelele yako yote kutoka tandale won't change any facts. That's the most important thing

Utaona akianza kuimba ule wimbo wao maarufu ijulikanayo kama '90s'
Sasa hesabu hutaki ama 🤣🤣👇👇 mm natumia link yako tu na sio nyingine
325569CB-17E6-4914-82D1-DF5E4E18FF76.jpeg
 
Back
Top Bottom