Kwa faida ya wana sacco😂😂😂😂., Unaumia hadi raha😂😂😂., Na bado wana sacco wana nyumba zao Donholm., Wewe kilaza, members wanakula dividends kila mwisho wa mwaka wewe uko hapa kupinga usicho fahamu😂😂😂😂😂., uliza faida ya kukuwa member wa SACCO ni nini? SACCO inatumia mchango wa members kujenga nyumba ama kufanya biashara kisha wakauza kwa faida na members wanapewa dividends kila mwaka kulingana na mchango wa mtu., leo nitakufunza kwa lazima😂😂😂., Asie funzwa na mamake hufunzwa na ulimwengu 😂😂😂., Mimi ndio ulimwengu kwako., Yaani uko ovyo😂😂😂😂😂😂., "...Sikuchukii na kudharau.."😂😂😂., (Waliimba Kleptomaniacs)