Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DSM moto wa kuotea mbali
2446562_847C0AA6-FD73-46B2-B6F6-5877D569AD45.jpg
2446561_5064F997-929C-432C-B779-5CA5A42297E0.jpg
2446560_E96A6F80-C17D-4EB5-8A9B-2B8B11ADAC6F.jpg
73302281_2583285688399821_7991038905177291015_n.jpg
 
Siku moja kuna mkunya alimuuzi Tony254 basi tony akamwambia yule Mkunya kwamba Watz hawajui uozo mwingi wa hapa Kenya kwahiyo ukiendelea nitaweka uozo wote hapa, basi nilistuka sn yn kwamba haya madudu yote yanayopostiwa humu kuhusu Kenya kumbe ni cha mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂walitaka kumtibua kaka tony.
huwa nawaangalia tuu wanavyo jitanua apa jf nabaki kukaa kimya.
sikua na mpango wa kuingia jf in my life bali nafatilia kwa mbali so siku nkaona wanadiss my home country nkashindwa vumilia nkaregister ili tuu niitetee nchi yangu.
 
Tuwaonyeshe Tanzania sio level Yao 😀nao wakija bongo Ruska kupiga picha waone kwa ground Tanzania imekaa aje from mkoa to mkoa sio DSM tu🙂
 
Sasa umeleta mwenyewe zen now hutaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji706][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji382][emoji375][emoji419]
Zen?! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
No wonder ile hesabu!
 
picha ya kwanza ndio mazingira ya mamantilie, ipo karibu sana na ile mijengo yao ya minara
picha ya pili ndio parking zao ivo.. wazee wa "ultra" [emoji23]
yaan ungekuepo uku kaka nadhan huu utashi wako wa picha[emoji23] pasingetosha apa nakwambia

Ultra, super highway [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku moja kuna mkunya alimuuzi Tony254 basi tony akamwambia yule Mkunya kwamba Watz hawajui uozo mwingi wa hapa Kenya kwahiyo ukiendelea nitaweka uozo wote hapa, basi nilistuka sn yn kwamba haya madudu yote yanayopostiwa humu kuhusu Kenya kumbe ni cha mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cha mtotoooo [emoji23]
 
Back
Top Bottom