Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na nchi imewafia mkononi 🤣🤣🤣🤣 bado dawa hata hamujaanza kulipia kwani SGR ilikuaje mumesahau
Where do you get the courage to write what you write.

I'm amazed how you do constantly embarrass yourself.
 
Mwanasiasa kawashika akili wakat watu wanakufa na ndio maana misaada ya chakula inakuja [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] na aljazeera pia waongo
Waongo watuonyeshe hayo makaburi na hyo misiba[emoji23][emoji23]
 
Na Tunawavisha😛Bila sisi mtavaa ngozi za Ngombe,We are your Customers and Customer is always the Boss🇰🇪Cheza nasi muangamie😎🔥🔥
Ukiwa na njaa pia ni boss? Labda kama unanunua diamond au gold
 
Hawa watu wAna maisha magumu acheni kabisa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇 bendera chuma mlingoti chumaView attachment 1783681
Sasa hapo maisha magumu inaingiliaje? Mtu mwenye ako na maisha magumu atawezaje kununua water tank apeleke kwake? You are becoming a choir master of a very boring song. Uliza World Bank wakuambie mahali maisha magumu hupatikana hapa Africa
 
History 😅😅😅

Now ninyi ndio most poorest globally kwenye LMIC
 
History 😅😅😅

Now ninyi ndio most poorest globally kwenye LMIC
History? Report ya last year October inakuwa history? Hata mwaka haijaisha. Leta ripoti ya World Bank inayosema hiyo idadi imepungua ndani ya hizo miezi saba
 
Bora upewe pesa karne hii kuliko kupewa misaada ya chakula...ni aibu kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…