Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wengine mitutu Chini wengine mbele very disorganised...hao mgambo wawapi...wanashindwa ata na alshabab
Another special force. ATPU, Highly trained. Trains with Scotland yard in England and Mosad in Israel. Since Alshabaab heinous acts Kenya went back to the drawing board and it is doing fine in counter Terrorism.
20210511_223630.jpg
 
Tanzania we are very respected all over the world we have a good reputation hili nimelishudia katika tafuta tafuta zangu za kila siku ukifika hata sehemu ya immigration za nchi za wenzetu wanatuamini Sana kuliko wakunya na jamaa wa west Africa indeed we are a blessed country tujivunie nchi yetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
ila nimecheka aisee hawa watu walisomea nn darasani 🤣🤣🤣 kuona hawaoni hata kupapasa basi
 
Kwenye hili swala la brt wakenya wamekurpuka sana aisee wapende wasipende ila kwa mradi wamebugi , wewe imagine wakati wa pick hours itakuje Kwenye izo marked brt roads 🤔
Wataomba msaada wa matatu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom