ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
they won’t show us this
Zile quality roads in the world ziko wapi au wamezificha kwenye kende 🤣🤣🤣🤣
they won’t show us this
Kwani Tony254 anasemaje🤣🤣🤣🤣 hii inaitwa headwind[emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23]
View attachment 1780075
+ upperhill kwann husemi hvo🤣🤣🤣Nairobi CBD
View attachment 1780089
Express way inajengwa na mchina kwa fedha yake na ataimiliki kwa miaka 30 na mutatoa ushuru kwa miaka 30 bado unakenua meno wakat mumeingia mkenge tayar kama SGR🤣😂😂😂Si niwe tu ulisema utaamini expressway inajengwa ukiona construction board,,zidi kuhesabu miaka utajua hujui😁😁
Mchina miaka 30 hoyeeeee😂😂😂Expressway hoyeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada, mshukuruni mjapan la sivyo level yenu burundi
ATPU hao...Hawa si ni Wale badala ya kupambana na adui walibakia kuiba mikate Westgate.
Kumbe sio milele[emoji23][emoji23]Express way inajengwa na mchina kwa fedha yake na ataimiliki kwa miaka 30 na mutatoa ushuru kwa miaka 30 bado unakenua meno wakat mumeingia mkenge tayar kama SGR[emoji1787]
Ulitaka tujengewe bure kama ubungo na tazara😁😁 we arent used to handoutsExpress way inajengwa na mchina kwa fedha yake na ataimiliki kwa miaka 30 na mutatoa ushuru kwa miaka 30 bado unakenua meno wakat mumeingia mkenge tayar kama SGR🤣
Na wenye 16 lanes waite nn kma hio 8lanes inaitwa super?? 😂😂😂 au ndio maana ile ushuzi mliofungua juzi mukaita ultra modern👇👇👇👇👇Hehe,,Thika superhighway itakuwa mtoto kwa expressway,,wait for it to be completed,, Nairobi will never be the same again 😍😍😍👏👏#uhurunakazi
Msaada kutoka japan,, ukikuuma nenda kazae😂😂
Wanalinda nchi.tuko salama.ATPU hao...
Vikosi vyenu maalumu viko wapi wazee wa siri[emoji23][emoji23]
Miaka 30 utakuwepo wewe ??? Mlo mmoja kwa siku stress za maisha mia mbili kichwani hapo hapo kazi huna, hospitalini hakuna tiba bora alaf unategemea nm🤣🤣🤣 chezea mchina historia inajirudia tena👇👇👇Kumbe sio milele![]()
![]()
Nilifikiria milele[emoji23][emoji23] kumbe ni kitu cha miaka thelathini tu..tetete!!sasa unaumwa nn na vitu km hvoMiaka 30 utakuwepo wewe ??? Mlo mmoja kwa siku stress za maisha mia mbili kichwani hapo hapo kazi huna, hospitalini hakuna tiba bora alaf unategemea nm[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chezea mchina historia inajirudia tena[emoji116][emoji116][emoji116]
Mkenge ni ule ule kama SGR kwani unafkiri munaakili ya kumshinda mchina nyinyi🤣🤣Ulitaka tujengewe bure kama ubungo na tazara😁😁 we arent used to handouts
Bwahahaha!!mko salama na wakati kunanwatu walitekwa mpaka leo hawajulikani walipoWanalinda nchi.tuko salama.
Miaka 30 mutaona kama miaka 100🤣🤣 mchina anaenda kuandika historia tenaNilifikiria milele[emoji23][emoji23] kumbe ni kitu cha miaka thelathini tu..tetete!!sasa unaumwa nn na vitu km hvo
Km alivyowalaghai akampa loan na project juu akashinda ya sgr[emoji23]Mkenge ni ule ule kama SGR kwani unafkiri munaakili ya kumshinda mchina nyinyi[emoji1787][emoji1787]
Sio milele lkn[emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 30 mutaona kama miaka 100[emoji1787][emoji1787] mchina anaenda kuandika historia tena
Vipi ile stadium morocco walisema watajenga bure kule dodoma 😂😂😂Na wenye 16 lanes waite nn kma hio 8lanes inaitwa super?? 😂😂😂 au ndio maana ile ushuzi mliofungua juzi mukaita ultra modern👇👇👇👇👇 View attachment 1780145View attachment 1780146