President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,037
- 93,399
Ukitoka hapo weka na zile estate mlizopiga upande upande kwisha habari yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Enyewe Dar inachekesha lakini. Compare and contrast with Ngong Road surrounding area
View attachment 1776699
Wacha kelele mzee wa Wivu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukitoka hapo weka na zile estate mlizopiga upande upande kwisha habari yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani machinga waliharibu manthari ya jiji hili kitu ilikuwa inaniuma sanaLeo nimepita kariakoo wanatangaziwa kwamba wanapewa wiki moja kama sikosei, haitakiwi raia kupita barabarani, so wamachinga wanatakiwa waondoke.
Ofcz ktk vitu ambavyo JPM alikuwa ananiudhi ni hapa kwa wachuuzi, haiwezekani mtu aweke banda lake popote pale, maanake nn ss? Watu wamejenga vibanda kwenye side walks zen raia waliojengewa wanapita barabarani, hii ckuwahi kuikubali na sitoweza kuikubali hata kdg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu masoko ya kisasa yapo yanaoza tu, ss cjui tuliyajenga ya nn.Yaani ma
Yaani machinga waliharibu manthari ya jiji hii kitu ilikuwa inaniuma sana
Wapewe maeneo sio mabarabarani
Uwekezaji mzuri Huu, Nchi zilizoendelea Huu ndio utamaduni wao wa kawaidaMzee Hapa ni Kigamboni Dar es salaam
View attachment 1776693View attachment 1776694View attachment 1776695View attachment 1776696View attachment 1776697
Tulisema humu kwamba Dar ni kubwa mno ona sasa dawa mpya hizoooo, wkt wao daily picha ni zile zile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu leta tuone kakaNa zaidi,ushakua mtaa wa kibiashara,watu wananunua wanavunja hizo nyumba wanajenga floor zake 8
Mbona hizo tumezizoea huku Nairobi?Uwekezaji mzuri Huu, Nchi zilizoendelea Huu ndio utamaduni wao wa kawaida
Leta sampleMbona hizo tumezizoea huku Nairobi?
Nimepata kizunguzungu baada ya kuonaAmini usiamini hapa siyo kuzimu ni Nairobi Kenya
View attachment 1776621
Nafurahi jinsi mnashtukishwa na miradi kama hizi. Huku tumeziona tukachoka jamani
Kama Dar ingekuwa na dongo nyekundu ingekaa vibaya sana. Huu mchanga wa grey unawaficha aibu nyingi maanake most of your areas areBarabara hii ilifanyiwa expansion to 4lanes
sinza -Mori View attachment 1776708
AZAM SA HQ
Kama...Kama Dar ingekuwa na dongo nyekundu ingekaa vibaya sana. Huu mchanga wa grey unawaficha aibu nyingi maanake most of your areas are
exposed.