Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika hayo makampuni makubwa ni yale foreign owned ambayo subsidiary zake za Kenya zime-invest Tanzania kama EA Brew, Unilevel na many of flower firms! Hamna hata moja la kizawa la Kenya lililo na muscles ya ku-invest over $100 mln!
😂😂😂😂An idiot indeed, umejipiga risasi kwa mguu😂😂., turn it around on yourself and see what u get😂😂😂., always the worst😂😂
 
Waliopinga hapa kuwa uchumi wa Tanzania imeshikiliwa na Wakenya wapo wapi.

Bwana wenu Mwarabu Rostam Aziz ametufungia hilo.

View attachment 1774983
530 companies worthing $1.7 bln! Tukitoa EA Breweries, Unilever, Equity , British Tobacco, flower firms and KCB Bank za mabwana wenu, the remaining 526 indigenous companies r left with less than $200 mln! Do u call that meaningful investment?
 
Kwanza jiulize kwann watanzania wanawalisha wakenya kwa chakula ukijibu hilo swali uje nikujibu😅😅😅
An idiot again exposes ignorance😂😂😂, jiulize ni siku gani Tanzania ililisha Kenya?., Yaani mlivuna mkatupa bure..,😂😂., ama mkatoa msaada.,😂😂 Mko ovyo kila sector, uwezo hamuna wakulima ndio fukara zaidi😂😂😂 tusiponunua hawawezi kuvaa chupi, pesa ya kunua sukari na sabuni watatoa wapi?., Taifa ni kama linaishi chini ya laana😂😂😂., many resources but zero productivity 😂😂😂., jichunguze wewe mkorofi😂😂😂😂., wacha nikucheke tu, uko very desperate kutetea maiti(Tz)😂😂😂
Kwanza jiulize kwann watanzania wanawalisha wakenya kwa chakula ukijibu hilo swali uje nikujibu😅😅😅
 
530 companies worthing $1.7 bln! Tukitoa EA Breweries, Unilever, Equity , British Tobacco, flower firms and KCB Bank za mabwana wenu, the remaining 526 indigenous companies r left with less than $200 mln! Do u call that meaningful investment?

ana njaa huyo hajanywa chai.. mtumie hela akale chapat na maziwa
 
ASIWADANGANYE MTU DARASA LA JPM LIMETUINGIA NATUPO KWENYE TEMPO ILEILE

Kiukweli suala la bidhaa za Kenya Tanzania should be restricted sana, ikiwa wao wana 500 Companies na sisi 30 waturuhusu tufungue kwanzs tu 10 companies hakafu mambo mengine yaendelee. Binafsi huwa nachukia sana mtu akiwa anataka akuone wewe mwenzake ni km daraja la yeye kupitia huwa nakasirika sana. Yaani mtu anazungumzia utu wakati yeye hafanyi utu huu ni unafiki mkubwa. Wakenya lengo lao kujaribu kutaka wauze bidhaa zao Tanzania halafu wao wazuie zetu surely this should not happen. You want equity then do it in action. ANY IDEA OF SEEING ANITHER AS A FOOL WILL NEVER BE ACCEPTED. Mama ameonyesha utu sana kuja huko, you all should be very careful with that maana this time mki mess up tu mmejiharibia mazima trust me. Ogopa sana mtu anayefanya kwa utu ukimzingua akifikia pont ya kusema no you will cry. Kwasababu mambo yako yote unakuwa umeyajenga kwenye foundation ya acceptance ya yule mtu. Now akishasema no you're finished. So we plead you to be very careful this time.
Dont ever think of manipulating things you will endup so badly.
 
Westlands district...2 year's ago
IMG_20210506_095055_100.jpg
IMG_20210506_095155_168.jpg
IMG_20210506_095239_856.jpg
 
Hatutaki kukuja into poverty stricken country, tunataka mlete raw materials haraka upesi., Kaeni huko huko kwa poverty na low life., superstition and mediocrity.., naah we don't want., It is your resources we are after not your country, get it clear, and we have them💪😝😅😅😅
😂😂 Mama kawatia dole la kati

Screenshot_20210506-102158_Twitter.jpg
 
😂😂 Mama kawatia dole la kati

View attachment 1775055
Hawa watu ni wajinga siku zote wakati sie tunaruhusu makampuni yao 530 kuwekeza Tanzania wao wameendelea kuzuia yetu! Sasa wanaanza kulilia kazi zilizotengenezwa na makampuni yao Tanzania! Imagine kama makampuni ya Tanzania yangeruhusiwa Kenya nani angefaidika na kazi?
 
[emoji23][emoji23] Mama kawatia dole la kati

View attachment 1775055
Au mahindi yalizuiliwa ili siku akiruhusu mahindi sisi turuhusu kingine halafu tuwe tumepigwa 2 wao 1? Suala la kuruhusu mahindi ni 1 sasa ili nasi turuhusu 2 inabidi mruhusu uwekezaji wa makampuni yetu kwanza[emoji16][emoji1]. Kuruhusu mahindi sio kigezo cha kwamba mmefunguka maana hiyo ilikuwepo before. Jpm aliposema zaeni sana alimaanisha jenga kwanza soko la watu wako kwanza wa nje hao ni extra. Nimejifunza sana sio kila jambo utumie Complicated ways utapotea. Ndio maana 1+1 hainaga njia ndefu, na hii haimaanishi hesabu hiyo hainathamani. So tupende sana kutumia simple methods ambazo ndizo zilizowezesha kujenga JNHP na Kuhamia Dodoma.
 
Mama angethubutu kutamka wakenya nao waje Tz kufanya kazi Tanzania bila permit work kesho Teargass na familia yake yote wangekua dar lux,but bi mkuu kaukwepa huu mitego yote,sio ajira utalii wala avition hotuba zake zote kakomaa na ushirikiano wa kibiashara tu 😅,biashara biashara biashara 😅

🤣🤣🤣
Wangeruhusu kuingia Tanzania bila permit, kesho yake tu, Ungekuta Teargass, pingli-nywee, Tony254 eti al wametia timu kituo cha mabasi Mbezi na Dar Lux. Nakuanza kumpigia simu joto la jiwe, ichoboy01, etc eti "njoo utupokee tuko hapa mbesi na wake setu na watoto". Sasa ichoboy01 anawajibu, si mngekuja kwanza wanaume ili tuyajenge, halafu ndiyo mkawalete wake zenu? Wenyewe wanajibu, hata hisi wanawake na watoto wanawesa kufanya kasi. 🤣🤣🤣
Mama angefuta vibari ingekuwa balaa.
 
🤣🤣🤣
Wangeruhusu kuingia Tanzania bila permit, kesho yake tu, Ungekuta Teargass, pingli-nywee, Tony254 eti al wametia timu kituo cha mabasi Mbezi na Dar Lux. Nakuanza kumpigia simu joto la jiwe, ichoboy01, etc eti "njoo utupokee tuko hapa mbesi na wake setu na watoto". Sasa ichoboy01 anawajibu, si mngekuja kwanza wanaume ili tuyajenge, halafu ndiyo mkawalete wake zenu? Wenyewe wanajibu, hata hisi wanawake na watoto wanawesa kufanya kasi. 🤣🤣🤣
Mama angefuta vibari ingekuwa balaa.
eliakeem inaonekana unadhani Wakenya wote ni masikini wa kutupwa. Huwezi kujua maisha ya watu binafsi huku JF. Huwezi kujua nani anamiliki nini.
 
Au mahindi yalizuiliwa ili siku akiruhusu mahindi sisi turuhusu kingine halafu tuwe tumepigwa 2 wao 1? Suala la kuruhusu mahindi ni 1 sasa ili nasi turuhusu 2 inabidi mruhusu uwekezaji wa makampuni yetu kwanza[emoji16][emoji1]. Kuruhusu mahindi sio kigezo cha kwamba mmefunguka maana hiyo ilikuwepo before. Jpm aliposema zaeni sana alimaanisha jenga kwanza soko la watu wako kwanza wa nje hao ni extra. Nimejifunza sana sio kila jambo utumie Complicated ways utapotea. Ndio maana 1+1 hainaga njia ndefu, na hii haimaanishi hesabu hiyo hainathamani. So tupende sana kutumia simple methods ambazo ndizo zilizowezesha kujenga JNHP na Kuhamia Dodoma.
KWANINI NASEMA SIO KILA KITU LAZIMA UTUMIE NJIA NDEFU?

NOT EVERY COMPLICATED METHODS IN SOLVING ISSUES MEANS THAT YOU ARE A PROFESSIONAL, BRAVE OR INTELLIGENT.

MTU PEKEE NA KIONGOZI PEKEE ALIYEREKODIWA KUWA NA HEKIMA SANA NA KUTAWALA KWA HEKIMA NI MFALME SULEMANI

MSOME SANA ILI UPATE HEKIMA

SOMA KISA HIKI

1 Wafalme 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Huyo Sulemani akafanya ujamaa na Farao, mfalme wa Misri, akamwoa binti yake Farao, akamleta mjini mwa Daudi, hata alipokwisha kuijenga nyumba yake, na nyumba ya Bwana, na ukuta wa kuuzunguka Yerusalemu.
² Ila watu walikuwa wakichinja dhabihu katika mahali pa juu, kwa sababu haikuwapo nyumba iliyojengwa kwa jina la Bwana, hata siku zile.
³ Sulemani naye akampenda Bwana, akienda katika amri za Daudi babaye, ila hutoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu.
⁴ Basi mfalme akaenda Gibeoni, ili atoe dhabihu huko; kwa kuwa ndipo mahali pa juu palipo pakuu. Sulemani akatoa sadaka elfu za kuteketezwa juu ya madhabahu ile.
⁵ Na huko Gibeoni Bwana akamtokea Sulemani katika ndoto ya usiku; Mungu akamwambia, Omba utakalo nikupe.
⁶ Sulemani akasema, Umemfanyia mtumwa wako Daudi baba yangu fadhili kuu, kadiri alivyoenenda mbele zako katika kweli, na katika haki, na katika unyofu wa moyo pamoja nawe; nawe umemwekea na fadhili hii kubwa, maana umempa mwana wa kuketi kitini pake kama ilivyo leo.
⁷ Na sasa, Ee Bwana, Mungu wangu, umenitawaza niwe mfalme mimi mtumwa wako badala ya Daudi baba yangu; nami ni mtoto mdogo tu; sijui jinsi inipasavyo kutoka wala kuingia.
⁸ Na mtumwa wako yu katikati ya watu wako uliowachagua, watu wengi wasioweza kuhesabiwa, wala kufahamiwa idadi yao, kwa kuwa ni wengi.
⁹ Kwa hiyo nipe mimi mtumwa wako moyo wa adili niwahukumu watu wako, na kupambanua mema na mabaya; maana ni nani awezaye kuwahukumu hawa watu wako walio wengi?
¹⁰ Neno hili likawa jema machoni pa Bwana, ya kuwa Sulemani ameomba neno hili.
¹¹ Mungu akamwambia, Kwa kuwa umeomba neno hili, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; wala hukutaka utajiri kwa nafsi yako; wala hukutaka roho za adui zako; bali umejitakia akili za kujua kuhukumu;
¹² basi, tazama, nimefanya kama ulivyosema. Tazama, nimekupa moyo wa hekima na wa akili; hata kabla yako hapakuwa na mtu kama wewe, wala baada yako hatainuka mtu kama wewe.
¹³ Na mambo yale usiyoyaomba nimekupa, mali na fahari, hata hapatakuwa na mtu katika wafalme kama wewe, siku zako zote.
¹⁴ Nawe ukienda katika njia zangu, na kuyashika mausia yangu, na amri zangu, kama baba yako Daudi alivyokwenda, basi nitazifanya siku zako kuwa nyingi.
¹⁵ Naye Sulemani akaamka, na kumbe! Ni ndoto. Akaenda Yerusalemu, akasimama mbele ya sanduku la agano la Bwana, akatoa sadaka za kuteketezwa, akatoa na sadaka za amani; akawafanyia karamu watumishi wake wote.
¹⁶ Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake.
¹⁷ Na mwanamke mmoja akasema, Ee bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunakaa katika nyumba moja; nami nalizaa nilipokuwa pamoja naye nyumbani.
¹⁸ Kisha, siku ya tatu baada ya kuzaa kwangu, ikawa mwanamke huyu naye akazaa; na sisi tulikuwa pamoja; hapakuwa na mtu mwingine pamoja nasi nyumbani, isipokuwa sisi wawili tu.
¹⁹ Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia.
²⁰ Akaondoka kati ya usiku, akamwondoa mtoto wangu ubavuni pangu, mimi mjakazi wako nilipokuwa usingizini, akamweka kifuani pake, na mtoto wake mwenyewe, aliyekuwa amekufa, akamweka kifuani pangu.
²¹ Nilipoondoka asubuhi nimnyonyeshe mtoto wangu, kumbe? Amekufa. Hata asubuhi nilipomtazama sana, kumbe! Siye mtoto wangu niliyemzaa.
²² Ndipo yule mwanamke wa pili akasema, Sivyo hivyo; bali mtoto wangu ndiye aliye hai, na mtoto wako ndiye aliyekufa. Na mwenzake akasema, Sivyo hivyo; bali mtoto wako ndiye aliyekufa, na mtoto wangu ndiye aliye hai. Ndivyo walivyosema mbele ya mfalme.
²³ Ndipo mfalme akasema, Huyu anasema, Mtoto wangu yu hai, na mtoto wako amekufa. Na huyu anasema, Sivyo hivyo; bali mtoto aliyekufa ni wako, na mtoto aliye hai ni wangu.
²⁴ Mfalme akasema, Nileteeni upanga. Wakaleta upanga mbele ya mfalme.
²⁵ Mfalme akasema, Mkate mtoto aliye hai vipande viwili, kampe huyu nusu, na huyu nusu.
²⁶ Ndipo mwanamke yule, ambaye mtoto aliye hai ni wake, akamwambia mfalme kwa maana moyoni mwake alimwonea mtoto wake huruma, akasema, Ee bwana wangu, mpe huyu mtoto aliye hai, wala usimwue kamwe. Lakini yule mwingine akasema, Asiwe wangu wala wako; na akatwe.
²⁷ Ndipo mfalme akajibu, akasema, Mpe huyu wa kwanza mtoto aliye hai, maana yeye ndiye mama yake.
²⁸ Na Israeli wote wakapata habari za hukumu ile aliyoihukumu mfalme wakamwogopa mfalme; maana waliona ya kuwa hekima ya Mungu ilikuwa ndani yake, ili afanye hukumu.
 
WAKATI WA MANABII ENZI ZILE
Watu walio watesa akina Mtume Paulo nafikiri hawakuwahi kuwaza kwama Paulo alikuwa ni mtu wa Mungu siku zile, bila shaka hawakuwahi kuwaza kwamba habari zake zingesomwa hii leo.

Hata kwetu hili janga la Corona hatuoni kwamba linaweza kuwa reference kwa vizazi vijavyo, ndipo likiyokea jambo lingine gumu kuwahi kutokea duniani, ndipo habari za Magufuli zitakapo kuwa reference kwamba alikuwepo Mfalme mmoja, (halafu hawata sema Raisi wakati huo) aliye weka imani yake juu ya MUNGU na hatimaye nchi yake ikaponywa. Ikashinda jambo lile gumu hivyo hata sisi tufanye hivyo. History is written. JPM[emoji2958][emoji1]
 
mama kesho anakuja Dar kuongea na wazee wa Dar es Salaam. Nadhan ataanzishe kampeni ya uchangiaji wa jambo fulan mfano ile kuboresha huduma ya mama na mtoto wakati wa kuzaliwa
 
Back
Top Bottom