Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]

Wafuate Magu Jehanamu[emoji88][emoji88]->>
[emoji23][emoji23][emoji23]
Deal za watu wenye uhai zmeanza kupigwaView attachment 1773570
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tahiraaaa ...hili deal we need it
 
Hio mkopo inaenda kwa Infrastructure,Nikama unaanzia Biashara unakopa pesa alafu Biashara inajilipia Deni yenyewe😛Think out of the Box Guyz
🤣🤣🤣👇👇👇 Mutalipa na nn na debt to GDP ratio iko 80% kwenye red line


 
[emoji1787][emoji1787] Ni sawa Nyani haoni kundule na Mgema akisifiwa???
Nyie mnavyoona viongozi wenu wanaipigia magoti Tz mnawaona wajinga au sio, hii nchi hapa EA ni km maji, ukiyakwepa kuoga utayanywa tu utake usitake [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji2781][emoji706][emoji3545][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji382][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kirahisi kwa sasa kwasababu ni kampuni ya umma na inajiweza 😂😂😂 kwa sasa tulieni tuwaletee gas ili zile pesa za kuagiza nje tuzichukue sisi tujenge nchi zaidi 😄😄
Unathani after hio Speech Nzuri ya Suluhu kuhusu Biashara,Haitawezekana,Haya Ngojeeni Kenyatta awe the Biggest Share Holder kwa hayo Makampuni Yote ya TZ😃
 
Unathani after hio Speech Nzuri ya Suluhu kuhusu Biashara,Haitawezekana,Haya Ngojeeni Kenyatta awe the Biggest Share Holder kwa hayo Makampuni Yote ya TZ😃
Kenyatta anamiliki ardhi nusu ya kenya ala nyinyi mutamiliki nn🤣🤣🤣 50m kenyans ndio maana slums haziishi kenya nzima
 
Sasa hii si ndiyo lengo letu au ulikuwa hujui kwamba nyie ni wateja wetu? Ulitaka ziada tumuuzie nani sasa? We ni mpuuzi wa mwisho, hujui kwamba tunaenda kuwatawala? Na kwamba magoti kwetu yataongezeka kuliko mwanzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine na yeye ni msomi eti [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana kila wiki anakula ban.
 
napenda hii outfit ya mama.. surual na ma ‘overall coat’
IMG_1620154583.395051.jpg


na picha yake inayonizutia mda wote ni hii
IMG_1620154620.728056.jpg
 
Tanzania bado kuna opportunity kibao sana bado watanzania wanafursa ndio maana unaona kila siku idadi ya millionares inapanda tanzania ina millionare wengi zaidi ukichukua kenya uganda rwanda and burundi combined 🤣🤣🤣🤣 tanzania ina unemployment rate ndogo zaidi east and central africa
Hapo TZ Bado Hamjafika,wacha Haraka Safari Ni Ndefu🤣🤣🤣🤣
 
[emoji3516][emoji3516] labda pia wajenge plant ya ku compress gas into liquid useme watauza mitungi kitu ambacho hamna, hyo plant itajengwa Tz, ss cc tunahofia nn? Ok ngj waje wataalamu kina Geza Ulole joto la jiwe Uhuru n Umoja Tanzanature and the likes waje watuambie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama ni vichaa wajenge mtambo wa kucompress wakati hawana ges? Tukumbuke mtambo wa kuibadil ges kuwa liquid sio cheap we are talking about a billions of usd...kuna njia nyingi za kuwa kuwangamiz hata wakijifanya vichaa tunaweza pandisha bei ya ges kamwe huwez shindana n mzalishaji daima....
Pia wameamua kuipitishia mombasa sababu ni short root from Dsm...
 
Wakenya wavivu sn wa kufikiri eti wanashangilia sisi kuwauzia umeme na gas yn wanahisi gas yetu wao ndiyo watakuwa mawakala km walivyofanya kwenye mazao, ss hawajiulizi kwamba gas hiyo hiyo tunayowauzia ndio hyo hyo inayopatikana kwa wingi hapa kwetu, yn customer watoke wanapotoka eti waache kuja kununua gas Tz kwa bei rahisi eti aende Mombasa akanunue kwa bei ya juu, hawajui kwamba sisi ndiyo tutakao control bei ya gas hapa EA wakileta fyoko fyoko tunashusha bei [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au labda cjaelewa, hebu wakuu nielewesheni hawa kima wanashangilia nini hapa mana km wanashangilia kupata unafuu wa maisha toka kwa baba zao Tz sawa ila km wanashangilia kuuza maana yake nini? Si utopolo huu hawa kima wanaleta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao kima hawajui na hawaelewi chochote juu mkoloni aliondoka (ga) na akili zao [emoji23][emoji23][emoji23]

Hao ndio ulikuwa unaaminishwa kuwa wana elimu bora!

Kuna ile takataka ingine ilikuwa inasema hawatonunua umeme wa Tanzania watanunua kule Ethiopia!
 
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]

Wafuate Magu Jehanamu[emoji88][emoji88]->>
[emoji23][emoji23][emoji23]
Deal za watu wenye uhai zmeanza kupigwa
Yani ww akili ni mafiiii...sana na tutawapumulia mpaka akili ikae sawa
 
🤣🤣🤣👇👇👇 Mutalipa na nn na debt to GDP ratio iko 80% kwenye red line


Ata enzi za Moi ilikuwa juu zaidi,Kibaki kuingia akalipa karibu yote,Everything is like a merry go round,unakopa na unalipa Kisha unakopa Tena😃
 
Back
Top Bottom