Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
Mama akitangaza baraza la Mawaziri, aliwatosa Bashiru, Polepole na kuwateua wabunge.
Asingeweza fanya Mageuzi makubwa vile bila support kubwa ya kundi la UOVU ndani ya CCM lililomuahidi nafasi yake ndani ya CCM.
Sisi tulipoona tu, teuzi ya Mulamula, tulijua Kikwete ndio Muongoza nchi.
What took place in Dodoma, evidently testifies Magufuli's death was never a happenstance.
SG Chongolo ndio alikua chini ya Nape Nnauye kipindi kile cha Kikwete.