Hvi wewe unaona watu humo wote wakuja au unaona kila mtu mjinga tu ??😀😀 mm utanidanganya sehemu gani kenya sijafika labda uniambie turkana na lamu mzee nikwambie kitu nairobi ilikua 90s ila kwa sasa tunaoozungumzia 2021 dunia ishageuka sio ile tena, dar ni second fastest city in the world na imeshika hio nafasi kwa over 3 yrs labda nikupe taarifa ndogo sana wakenya wanaokuja dar leo hawawezi amini macho yao, ww kama unachuki zako zakisiasa hii sio sehemu sahihi kwakoNingekuwa sijafika na kuishi labda ningeweza kushawishika kuingia kwenye huu mkumbo wenu.
Huwezi fananisha Nairobi na upuuzi kama Dar.
Siku africa itapata ultra modern commercial marine kama hzi munitag👇👇👇👇
Si hua nasema kila siku hawa watu wamerogwa na kimbunga jobo 😃😃😃 kama haoni hata kupapasa pia hawezimbona nimeangalia mahali kuna Mkenya anadai boat za Mombasa Lamu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ultra modern aisee aliewaroga hawa alitumia uchawi wa vitabu na sio tungule
Imekua built from scratch 😀😀😀 na ukiskiliza cost iliotumika hapo inaeza kua sawa na kujenga mbezi luis walivokua na laanakwan hii terminal imekuwa built from scratch au imekuwa renovated?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848]
Unazungumzia Nairobi ipi kwanza, huenda wewe ni yule a man from Taured, ni hii hii Nairobi iliyo katika kundi la miji michafu Africa au unaongelea ipi hebu nieleweshe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sure huwezi kuwa size yangu mpuuzi mmoja wewe. Bishana na mazwazwa wenzako mnaifananisha Dar na Nairobi ni sawa na kufananisha kifo na usingizi.
Kwanza Nairobi hamjafika mnapaona kwa picha tu halafu mnaleta kende kubishana. SMH
Alicheza zaidi ya Pele. Yule mwamba alikuwa genius.Mzee kama alijua atakata moto akaona akamilishe ndoto zake mapemaa kwa kuifikisha reli Mwanza zen hizo lot zingine watajijua wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu cha Githurai ☝️ kimeshindwa ku-afford windshield ya Mercedes Benz! 🤣 🤣 ☝️ 🤷♂️Vitu vya kawaida hivyoView attachment 1765661View attachment 1765662
Tulisha mcertify kwa hiyo sifa kabla hajafa mkuu.Alicheza zaidi ya Pele. Yule mwamba alikuwa genius.
Naweza kukutuhumu kuwa umeidukua akili yangu. Ni jana tu nilikuwa najiuliza kuhusu uniqueness ya hiyo logo. Yaana jana nawaza, wewe leo umepost. Sasa hapo ni coincidence au hacking! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio logo ya TTCL imekaa unique sana... hawa analogous viongozi wetu sijui walikubalije kitu ambacho haiendan na ishu za simu..[emoji23].. wengi wanapenda kiwepo kitu kinachoendana na huduma wanayotoa
na most times, logo sio lazima iendane na service/product inayotolewa
Mkuu,
Hilo la mbele unafungulia geti la milembe bure kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]angalia haya mawili mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1765498
kenya wako kizaman.. Tanzania hakuna daladala lenye mlango wa mbele kwa ajili ya abiria
Bora umeliona hilo. Sisi hapa kuna basi za kuitwaga Happy Nation, zamani walikuwa wanaziunda kwenye platform ya lorry. Zilipigwa ban. That's not acceptable.Its actually true, what happens is that the fabricators use lorry Chasis which to me is very bad for psv
Hio ndio BabalaoMkuu,
Shukrani nyingi zikufikie kwa kuteletea picha kali kama hii. Hii kitu Kenya wanaizoom tu kwa mbali.
View attachment 1765771