The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Eti turuhusu wazazi wasome Govt school si upunguani huu, hata mm mwanangu akipata mimba nitapeleka private school, tubaki humo hakuna kupepesa macho, ndio maana nlikuwa namuunga mkono the late Magu cz alikuwa straight bila kupepesa macho.Wakenya wengi akili zao ziko brainwashed na wazungu wao hudhani mzungu kwao ndio civilized wakat wale wanapoteza ulimwengu wakat kwao kisirisiri wananyoosha mambo yao
Sent using Jamii Forums mobile app