ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
So umepanic 🤣🤣🤣🤣ichoboy01 ni mwehu siku zote😅😂😂😂😂 utachoka bure.
So umepanic 🤣🤣🤣🤣ichoboy01 ni mwehu siku zote😅😂😂😂😂 utachoka bure.
oyaa.. angalieni hiki wanachokiita bus terminal [emoji23][emoji23][emoji23]
hii nchi imelaaniwa
(video)
View attachment 1765437View attachment 1765438
Wamerogwa na kimbunga jobo 🤣🤣wakenya kuweni serious, mnatuaibisha
Mawasiliano Bus Stand, Tanzania
View attachment 1765467
utra modern bus terminal, kenya
View attachment 1765468View attachment 1765469
Yosef Festo 😃😃😃😃Its actually true, what happens is that the fabricators use lorry Chasis which to me is very bad for psv
Arusha Medical Tourism in the making!
Ona upupu alioandika huyu kilaza 🤣🤣🤣Hauna uwezo wa kushirikisha ubongo kwa hoja😂😂😂😂, a town service terminus unataka ifanane na ya mikoa?., hii ni another virsion like zile zenu za brt, just sizeable and customized for the town service function, kila siku nasema mko ovyo, yaani full mikwara kwa kila kitu Kisha mnasema hatuwapendi, tunawachukia ama sisi tuko na roho mbaya blah blah blah, but ni vile wengi wenu mnavyo jibeba ujinga left, right and centre ya mawazo yenu, mnajiletea dharau tu😅😂😂
Bus terminals walisema kwao co kipaumbele, ss baada ya kuona Tz imeng'ara kwenye hiyo sekta ndo nao wakaona wajenge kitu ambacho hakikuwa kwenye mpango wao na ndiyo maana unaona ushuzi kama huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]oyaa.. angalieni hiki wanachokiita bus terminal [emoji23][emoji23][emoji23]
hii nchi imelaaniwa
(video)
View attachment 1765437View attachment 1765438
Nitolee upuuzi hapa, nenda kwenye jukwaa lako la ubishani wa kipumbavu, mm co saizi yako.Legacy gani mkuu? Unajua maana ya legacy?
Tofauti ipo...ntaweka waittuusan unaona tofauti?., weka drone clips pia.
Sure huwezi kuwa size yangu mpuuzi mmoja wewe. Bishana na mazwazwa wenzako mnaifananisha Dar na Nairobi ni sawa na kufananisha kifo na usingizi.Nitolee upuuzi hapa, nenda kwenye jukwaa lako la ubishani wa kipumbavu, mm co saizi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ushawah fika nairobi ?? Au ww unaijua dar ipi ile ya 90s ama ???Sure huwezi kuwa size yangu mpuuzi mmoja wewe. Bishana na mazwazwa wenzako mnaifananisha Dar na Nairobi ni sawa na kufananisha kifo na usingizi.
Kwanza Nairobi hamjafika mnapaona kwa picha tu halafu mnaleta kende kubishana. SMH
Ningekuwa sijafika na kuishi labda ningeweza kushawishika kuingia kwenye huu mkumbo wenu.Ww ushawah fika nairobi ?? Au ww unaijua dar ipi ile ya 90s ama ???