ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
👇👇👇👇👇👇👇 jibu hili hapaJibu la Netflix Naija Kwanza. Nifungue link ya nini, wakati naona ni nini kinachoongelewa hapo. Naija first, huyo mkenya asiyemjua Idrriss hadi kuandika hivyo, ni naniiiiiiii !!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Lazma kuna figisu hua munafanya chini kwa chini kwani aliesema diamond ni mkenya alikua mtu kutoka wapi??🤣🤣🤣 tatizo lenu munafkiri hii ni dunia ya 90s mukidhani mutadanganya watu, sasa hvi wewe ukismamishwa na mtoto wa miaka miwili humdanganyi kitu