Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona wakenya wote sikuhizi wanatoka Kilifi, bora ushapata jibu. Alafu nikuulize hivi nyie vibaraka wa mtaani hukata 85 usd per night huko kwenyu? Basi hata mmemzidi beberu, dadeki. Walilia oh Nairobi, sasa angalia Kilifi, alafu hujui lolote, tuachie sisi wenye kuyakaa maeneo hayo. Nauona uchungu, usjali. 🤣🤣🤣
Mm nakwambia kilifi ni coast town ambayo economy yake inategemea tourism ukitoa basic ya fishing au nasema urongo ??🤣🤣🤣 kama leo hii unapost hotel appartments zinazolipiwa per night na mostly ni kwa ajili ya foreign tourists, wapi unakwama buda
Bahat nzuri mm kilifi nimefika huna cha kunidanganya nimepita sana hapo nikiwa naelekea malindi yani ni town imechoka inatoa kamasi 😅😅😅😅
 
Kuna shida akija? Hata Uarabuni na kwa Ughaibuni wanaenda pia.🤷🏿‍♂️
🤣🤣🤣👇👇👇
CC998C2A-A370-4504-9308-CC59A78E8519.jpeg
 
Mm nakwambia kilifi ni coast town ambayo economy yake inategemea tourism ukitoa basic ya fishing au nasema urongo ??🤣🤣🤣 kama leo hii unapost hotel appartments zinazolipiwa per night na mostly ni kwa ajili ya foreign tourists, wapi unakwama buda
Bahat nzuri mm kilifi nimefika huna cha kunidanganya nimepita sana hapo nikiwa naelekea malindi yani ni town imechoka inatoa kamasi 😅😅😅😅
Nimekupata na nikatambua ulipita enzi za Moi 😂😂😂 huko kwenyu hao wenye kipato cha chini naona wanapiga hela nyingi hadi kutoa $85 per night, duh... Nimewainulia mikono, nyie zaidi ya mabeberu! 🤣 🤣 🤣
 
So kwann unalia wakat mwenzio tena mchezaji kaliona hilo sembuse wewe jobless😃😃😃😃

Mambo yamebadilika sasa👇👇👇
View attachment 1765171
Nionyeshe timu yoyote bora duniani ambayo haijapewa kichapo na vitimu vya kishamba bila kutarajia. Wewe sio fan, you're just pathetic trying to comfort yourself with that, haha...the thing is no one's buying it, only that guy!🤣🤣🤣 Huyo ata bure mchukue tu! 🤣

1/25/2021- "The football section of Raja Club Athletic S.C was ranked by the Confederation of African Football (CAF) as the third-best football club in Africa after Zamalek SC and Al Ahly SC. It is a very famous club in Africa and, with 16 trophies won since 2000, Raja CA is also the most successful Moroccan club of the 21st century."
 
Nimekupata na nikatambua ulipita enzi za Moi 😂😂😂 huko kwenyu hao wenye kipato cha chini naona wanapiga hela nyingi hadi kutoa $85 per night, duh... Nimewainulia mikono, nyie zaidi ya mabeberu! 🤣 🤣 🤣
Nimepita 2020 january sasa utaniambia nn wewe 🤣🤣🤣🤣 kuna kipi utanidanganya wewe barabara mbovu kwanzia mombasa mpaka malindi alaf utaeleza nn hapa wewe hio kilifi makamasi matupu alaf watu wamechoka kwangu pakavu tia mchuzi
DB66F03F-70B5-47A6-8E6E-4F7F06A48736.jpeg
 
Nionyeshe timu yoyote bora duniani ambayo haijapewa kichapo na vitimu vya kishamba bila kutarajia. Wewe sio fan, you're just pathetic trying to comfort yourself with that, haha...the thing is no one's buying it, only that guy!🤣🤣🤣 Huyo ata bure mchukue tu! 🤣

1/25/2021- "The football section of Raja Club Athletic S.C was ranked by the Confederation of African Football (CAF) as the third-best football club in Africa after Zamalek SC and Al Ahly SC. It is a very famous club in Africa and, with 16 trophies won since 2000, Raja CA is also the most successful Moroccan club of the 21st century."
Sio mm niliesema sasa mapovu yote yanatoka wapi kwann unalia sasa🤣🤣👇
Take it easy sio lazma uongee kwa jazba na hasira
75F2F233-7C94-4F69-80AF-537F5C10BE9C.jpeg
 
Jibu swali, ndo maana nikakwambia, that's his opinion, lakini kiukweli hata wewe unajua timu iliyobora Afrika,! 🤣 🤣 🤣... Sema tu, usiogope! 🤣
Aliesema ni huyu hapa sio mm 🤣👇👇 naona bado unafikra za 90s mambo yamebadilika sana nenda na wakati
2F4DDFFC-4C88-4B2F-840C-3A0E054D8518.jpeg
 
Usinibandikizie "hasira", hata sina, nipe jibu la post ya ile series ya Netflix ya Naija. Huyo mkenya aliyeandika ni nani? 😂
Lazma kuna figisu hua munafanya chini kwa chini kwani aliesema diamond ni mkenya alikua mtu kutoka wapi??🤣🤣🤣 tatizo lenu munafkiri hii ni dunia ya 90s mukidhani mutadanganya watu, sasa hvi wewe ukismamishwa na mtoto wa miaka miwili humdanganyi kitu
 
👇👇👇👇👇👇fungua link mbona muoga wewe 🤣🤣🤣🤣🤣

View attachment 1765189
Jibu la Netflix Naija Kwanza. Nifungue link ya nini, wakati naona ni nini kinachoongelewa hapo. Naija first, huyo mkenya asiyemjua Idrriss hadi kuandika hivyo, ni naniiiiiiii !!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom