Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_9551.jpg
 
Mpaka sasa, tathmini yangu kwa mama naona ni mtu wa ku "lead from behind", hulka yake ni kutoonekana mshari kwenye jamii. Kama Rais mwenye jinsia ya kike siyo kitu cha kushangaza kuwa hivyo, wanawake wengi hupenda huendesha mambo nyuma ya pazia (image ni kila kitu). Ninachokiona ni yeye kuwaachia wasaidizi wake kuendesha nchi kwa mkono wa chuma, mfano tuliona waziri mkuu alivyofanya Dar, nchi hii haiendi bila mijeledi.

Pia mama anapenda kufuatilia mitandao (ila sikupenda yeye kulisema hili hadharani) hivyo kama kuna mambo hayaendi sawa watu wakilalalmika atasikia. Mfano tuliona alipofanya mabadiliko pale TPDC na hata alipofanyia kazi hoja ya mh Zungu. Kwa hiyo tusihuzunike sana, bado wengi waliofanikisha sheria zile za maliasili wapo, na system haiwezi kuacha mambo yarudi kule, kumbuka hata JK wazalendo walimzunguka kusaini Bagamoyo, mpaka akaondoka.
Thanks.

A very good observation.

Nitaweka silaha chini huko twitter kuhusu Samia na nitaongelea observation yako huko kwa wadau tumpe mda mama tuone.
 
Thanks.

A very good observation.

Nitaweka silaha chini huko twitter kuhusu Samia na nitaongelea observation yako huko kwa wadau tumpe mda mama tuone.
Mshikaji inaelekea una mawazo ya kiujima sana na in short unamchukia kwavile ni mwanamke na unaamini hataweza haha kabla ya kumpa muda hii ni tabia mbaya! Nadhani una mfumo dume halafu upeo mdogo! Kwa taarifa yako so far viongozi wanawake wameonyesha umakini zaidi.
 
Back
Top Bottom