Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
wakenya mnachukua,,,,huko somalia mbona mbali sanaHaha, hayo hata mkipiena bure kule Somalia , hawachukui!![]()
wakenya mnachukua,,,,huko somalia mbona mbali sanaHaha, hayo hata mkipiena bure kule Somalia , hawachukui!![]()
Jamaa Yao alikuwa anatongoza Congo nako apeleke hao wezi wa biscuit mall na wauza mkaa wa Somalia.Wanunue wapi? Wakati walikosa mkopo!
Mama angeanza na Maria Sarungi, Fatuma Karume.Uhuru na Umoja unakaribishwa kutoa ushahidi wa unachojua! au nimsaidie mama kuku-expose?
😂 😂 😂 😂 Yayayusheni Jameni!wakenya mnachukua,,,,huko somalia mbona mbali sana
How many have been vaccinated so far in UK?![]()
UK reports 32 deaths from clots after AstraZeneca jabs
21.2 million people in the country have received first doses of the vaccine, officials say.www.theeastafrican.co.ke
Shhh! 🤫🤫🤫 Hujui lolote! 🤣Jamaa Yao alikuwa anatongoza Congo nako apeleke hao wezi wa biscuit mall na wauza mkaa wa Somalia.
Si ndio alikuwa anataka kumvuta mturuki kwa kutaka kununua hizo gari ili wa lobby deal ya lapsset. Kumbe mturuki lengo lake ni Somalia tu. Hana interest na nyang'au.
Ukweli lazima usemweUmeanza kulialia
Huyo samaki yuaitwa jodari ama tuna kama sijakosea.
Mimi ni mzalendo wa kutupwa ila siwezi kujidanganya kuwa rais anayeonya watu wake wa negotiation team wasiende kuwatunishia misuli hao investors eti kwa kuwa sisi ndiyo wahitaji!Naona Geza amelike post yako.
Well, I still believe so.
Mama hawezi nipata mimi, ni ngumu sana.
sasa kama ni second city, ,,kwa hiyo haipaswi kujengwa vitu vizuri...?
au ni ushamba unakusumbua mkuu

Hao washazoea kukaa kwwnye nyumba za kupanga achana naoHapo ni pa kutokea, Kapost render nimepost zilizopo Dar ambazo zishajengwa kahamia kwenye hizo ngonjera.![]()
Tanzania can never rival kenya in real estate, you can take this to the bank.Hapo ni pa kutokea, Kapost render nimepost zilizopo Dar ambazo zishajengwa kahamia kwenye hizo ngonjera.![]()
Very true!Mimi ni mzalendo wa kutupwa ila siwezi kujidanganya kuwa rais anayeonya watu wake wa negotiation team wasiende kuwatunishia misuli hao investors eti kwa kuwa sisi ndiyo wahitaji!
Magu alienda nao vizuri sana kwenye gesi ila huyu bi mdashi wenu kaja kuwapa confidence wawekezaji kwa speech zake mwenyewe now wana-backdown ili kumvuta zaidi.
Nashangilia hii game huku nikiumia moyoni. Mama kama hawezi kulinda maslahi ya nchi awe mpole. Aache stori za "kile kitalu C asiweke mtu mkono wake, kina kazi maalum". Anatuumiza sisi wazalendo wenye misimamo mikali.