Relax. Let me take care of something then I’ll answer you.Yeah ninayo.
Dear brother,
Tuache kubishana pasipo sababu, there is a lot to learn from you na waweza kujifunza ubaya wa ujunga wangu.
Lets be neutral na tureason kwa pamoja.
Report ile ndio alikua apokee Magufuli, je ndio kind ya report angeletewa na CAG? NO.
Maana hata wewe umedai kua ufisadi ulikua ukifanyika gizani, let me say "could be" - meaning, CAG alikua akificha kwakua walikua wanamwogopa.
Sasa woga uliisha lini? Maana report mpaka March mwanzoni ilikua tayari.
Sasa wewe huoni hapo, kuna adjustments zilifanyika kwenye report baada ya kufa??
Mtura umekolea!🤭😂😂😂😂
Kwahiyo SGR Terminal isifayiwe landscaping ibaki hivyohivyo? Wacha uswahili! Landscaping ni taaluma na ajira pia na ni sehemu ya usanifu jengo! Na naongea kama mtaalam wa hii sector (engineering)! What if hiyo sehemu inahitaji landfilling na drainage systems?gharama za ujenzi ghorofa tunakubaliana.. gharama za fence sijui land clearance/scaping sijui mavitu gan kucost zaid 300m sio reasonable
Mataga wewe.Au ww ndio mtanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatuletea siasa za ushuzi za twitter za kina kigogo
Kq kwa hivi sasa inakwenda wapi kama sio kwenda kisumu na Mombasa tu nchi nzima viwanja 3.Hakuna Safari mlifaa muende, hakuna Corona Tanzania na pia hakuna Corona China.
Alright. Tu-reason kwa kila point uliyowasilisha.Yeah ninayo.
Dear brother,
Tuache kubishana pasipo sababu, there is a lot to learn from you na waweza kujifunza ubaya wa ujunga wangu.
Lets be neutral na tureason kwa pamoja.
Report ile ndio alikua apokee Magufuli, je ndio kind ya report angeletewa na CAG? NO.
Maana hata wewe umedai kua ufisadi ulikua ukifanyika gizani, let me say "could be" - meaning, CAG alikua akificha kwakua walikua wanamwogopa.
Sasa woga uliisha lini? Maana report mpaka March mwanzoni ilikua tayari.
Sasa wewe huoni hapo, kuna adjustments zilifanyika kwenye report baada ya kufa??
Yani hapa huu mwandiko ndo umejidhihirisha kabisa ya kwamba wewe ni Choice Variable, sasa kwnn huwa unajifanya kuongea kama Mkenya? Kwnn unakuwa mtumwa wa fikra za watu? Kama kitu hukipendi weka wazi hukipendi na mtu atake asitake atalazimika kukuelewa lkn co kujifanya Mkenya eti unabadili mpk lugha aisee yn wewe ni mpumbavu sn.Only MATAGA, Opportunists and the so called WANYONGE like you will miss the existence of Magufuli!
The rest, including me!! What i can say is NO!!!! Thanks to God, that old man is gone forever. He deserved nothing but death and a painful one.
Mkuu huyo sio Mkenya ni mtanzania huyo anaitwa choice variable yule aliyetumbuliwa na Magufuli hiyo ni id yake nyingine huwa anajifanya Mkenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww ni mtu wa ajabu sana magufuli anakuhusu nn wewe kama mkwenya?? Magufuli ni rais wa tanzania anakuhusu nn wewe kama mkenya hebu nijibu hili swali, ikiwa sisi watanzania tunajua umuhimu wake tena mkubwa sana, wewe ulifaa ulie na kenyatta anauza nchi taratibu kwa wachina [emoji3]
Nyie wenye viwanja ishirini, na bado hakuna kazi, ndege zimelala!Kq kwa hivi sasa inakwenda wapi kama sio kwenda kisumu na Mombasa tu nchi nzima viwanja 3.
Mwenye mwenye mwenye nini wewe ni mTz mwenye aliumiza ndio nn? Huoni aibu kuongea kishoga shoga namna hyo.Magu was just a fool Mwenye aliumiza watu bure.
Deserved death
Kaka huyo ni mbongo anaitwa choice variable JIPU, yule aliyetumbuliwa na Magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alimuumiza nani kama sisi watanzania tunaona kua hatujaumizwa wewe mkenya inakuaje useme aliumiza watu wakat sisi watanzania tunaona hakuumiza watu na kafanya makubwa zaidi kuliko marais wote waliopita
Once again, huyo anaitwa Choice Variable JIPu co Mkenya huyo asisingizie Wakenya mana Wakenya walikuwa na chuki na effects za Magufuli na sio Magufuli usiwaingize Wakenya kwenye roho hiyo, japo wana roho mbaya ila walichukia effects za Magu na co Magu kama Choice Variable JIPu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matanga ndio jina la nani?? Sisi watanzania tunamkubali na tunampenda na katufanyia mengi kwenye hii nchi sasa wewe mkenya magufuli anakuhusu nn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yani umchukie magufuli kisa kaleta maendeleo makubwa tanzania
Issue ya ununuzi wa ndege ameituliza kwanza!! Maza yuko smart sanamiradi yote ya Magu inaendelea .. meli, SGR, ATCL, viwanja vya ndege
Hehehehe ishahama hii hapa inajengwa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545]Watanzania, mnajua hii kitu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ati 'oh mabasi ya mwendo kasi yanadumu, oh... Kumbe mchina kafanya yake tayari! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Poleni!! Dadeki!
View attachment 1760312
Mnajenga stand za BRT, jangwani??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1760314
We kweli mgeni na Jf, hao ulio screenshot ni UFIPA hao na bosi wao ni Zitto Kabwe huwa wanakosoa mpaka hewa ya Tanzania wakati dunia nzima hewa ni moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ndio ujipe matumaini, ona hapa, na usilie [emoji22][emoji23] sababu sio mimi naandika ni wabongo wenzio waliochoshwa na hali tata ya BRT! [emoji1787]
Kueni watulivu, msirukie rukie mambo tu! [emoji1787]
View attachment 1760336
View attachment 1760337
View attachment 1760338
View attachment 1760339
View attachment 1760340
View attachment 1760341
View attachment 1760342
View attachment 1760343
View attachment 1760344
View attachment 1760345
View attachment 1760346
Mali ya Umma hiyo mkuu cz hiyo ni nyumba ya mkuu wa mkoa na sio nyumba ya fulani so mkuu wa mkoa yeyote ataishi hapo.hello Tanzanians. hizi nyumba za wakuu wa mikoa na wilaya.. zinakuwa ni nyumba ya mkuu wa mkoa binafsi au zinakuwa za serikali?? yan kila mkuu wa mkoa anaekuja anakaa hapo?
afu hizi gharama sasa[emoji1438][emoji3603]
Knight Frank wakisema wana mamillionea wengi, inakuwa Bibilia yao ila wakitoa information kama hii utawasikia wakisema eti ooh Knight Frank is a bogus source. 🤣 🤣