Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jichoboi umeumbuka leo
Teargas oka mtu wangu nataka leo tuuwe kenge mmoja humu ndani, jicho nishachoma ndani...gear unachange ya wapi sasa angani tena auView attachment 1759880
Tafuta kwnye official blog yao hii hapa ukipata tag me nifunge acc 🤣🤣👇👇👇 mbona simple sana

Jamaa hujui maana ya sizing model 😂😂
Official blog hii hapa tafuta ukipata tag me mzee hapa hutoki leo mpaka tumalizane 🤣🤣🤣👇 munatuletea hesabu za dukani

Pole sana baboon here it is.

Go to menu on the same page you have screenshot then click publications, wewe utafundishwa Hadi lini?😂😂
Mm nilijua hutoki hapa na nilikwambia mm 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

Jichoboi umeumbuka leo
Teargas oka mtu wangu nataka leo tuuwe kenge mmoja humu ndani, jicho nishachoma ndani...gear unachange ya wapi sasa angani tena auView attachment 1759880
Nani akumbuka mm au official blog yao hii hapa who is fooling who 😁😁😁😁
2020 = millionare 2000
2021 = millionares 20000
2021 corona imefagia millionares 912

Hahahhahahhahaha alaf munasema mumesoma nyinyi

Tafuta kwnye official blog yao hii hapa ukipata tag me nifunge acc mbona simple sana

www.knightfrank.com ni official ya wapi mzee
Hoja kwishaa, wenzako wamekukimbia mzee..heri useme tumeshahongana kuliko kuja kujiabisha hapa
Screenshot_20210421-232250_Samsung%20Internet.jpg
 
Utafanya huyo mwarabu apige nduru 🤣🤣🤣
Nani kaleta pdf hapa mm nakulete official blog unasema mambo ya pdf 😅😅😅😅

www.knightfrank.com ni official ya wapi mzee
Hoja kwishaa, wenzako wamekukimbia mzee..heri useme tumeshahongana kuliko kuja kujiabisha hapaView attachment 1759883
Hapa hatoki mtu 😆😆😆😆 mwenzako kakuvisha bomu nawewe ukaliingia mzima mzima kama kawaida yako

Nani kaleta pdf hapa mm nakulete official blog unasema mambo ya pdf

Kwn hyo imetolewa kw pdf, we si uliesem nichome ndani, sasa nimechoma mzee baba..hii gear ni ya anagani au wapi jamani
 
Nani akumbuka mm au official blog yao hii hapa who is fooling who 😁😁😁😁
2020 = millionare 2000
2021 = millionares 20000
2021 corona imefagia millionares 912

Hahahhahahhahaha alaf munasema mumesoma nyinyi

Pole Sana 😂😂

Screenshot (6).png
Screenshot (3).png
Screenshot (5).png
 
Kwn hyo imetolewa kw pdf, we si uliesem nichome ndani, sasa nimechoma mzee baba..hii gear ni ya anagani au wapi jamani
Nani kapost pdf who??? Mm nakupa official blog yao hiii hapa tafuta ukipata nitag nifunge acc hakuna hesabu za kuuza karanga humu ndani mzee

Hapa hatoki mtu mwenzako kakuvisha bomu nawewe ukaliingia mzima mzima kama kawaida yako

Nijibu hili tu alafu nilale mzee..

www.knightfrank.com huaga inakuaga official ya wapi mzee baba
 
Nijibu hili tu alafu nilale mzee..

www.knightfrank.com huaga inakuaga official ya wapi mzee baba
Kwani hii nakupa ni nini toka mwanzo nimempa atafute mbona hamuitaki officila blog kuna shida gani 🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom