ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Huyu ni kilaza wa aina yake toka 2018 namjua vzr sana mm hua hanipi tabu kabisa 😁😁😁Ukishaona mtu ana-download picha za pesa na kuzipost huku akiandika ni zake tena akiweka msisitizo ujue kichwani hazimo.




