Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Punguza maneno
Angalia developed Tanzania
Punguza maneno
Mwambie alete Benz kama hizi sio yale makaraiKwani isuzu ni kampuni ya japan?? Hvi kuna sababu gani yakugungua tanzania wakat kenya ipo?? Na kenya ni pua na mdomo kwann waje tanzania mm nakwambi biashara ya isuzu kenya ilishafika kikomo 😅😅
Punguza maneno
Angalia developed Tanzania
Bwahahah!!mjonga ana support ujinga@komora096 njoo uone Benz![]()

mtahangaika sna na michinaLeo nataka kumkamata mjinga





Maisha ya kenya ni magumu kw wageni km nyie watz, mtanzania akija kenya atakufa njaa manake kila kity kitamshinda kuanzia bills mpka bidhaa na huduma zingine na wakaati mkenya wa kawaida akija tz ana mudu na kuwekewa heshima kitaani..Ninyi hamna maisha mazuri kuwazidi Namibia, Botswana, Eswatini, Angola na hata Rwanda lakini cha ajabu eti mpo juu yao how? Mimi kipimo changu cha maendeleo ni provisions of social services and common citizens well-being
Masikini wa mwisho kutoka hayo mataifa akija Kenya ni mtu mwenye kipato cha wastani
Miundombinu na huduma za jamii, urahisi wa maisha kutoka kwenye hayo mataifa ukilinganisha na nchi ya nairobi (sababu Kenya ni nairobi tu) ni mbinguni na kuzimuni
That's why mpo nafasi msiostahili kabisa especially kwa sisi tunayoijua Kenya ilivyo na maisha magumu
Elimu yenu mbovu sana, yani hata kusoma uelewe huwezi..we unafikiria india haina uwezo wa kujenga miundombinu km ya japan..Aliyekwambia GDP ndiyo kila kitu itakuwa alijua kuwa wewe hupokea chochote usikiacho. India ina GDP kubwa kuliko Uingereza na Japan. Unadhani maisha ya hizo Jamii yanakaribiana? Nyie mnayo GDP kubwa ila maisha yenu magumu kuliko hata Wamalawi ambao ni LDC.
Body built by a kenyan company..hii ni model ya mwaka gani?
mbona swali jepesi tuuView attachment 1759154
sjakuelewa ka vip screenshot iyo post twende sawaOlaa, nimerudi tena!Yule jamaa yenyu,(labda hata ni wewe) aliyenitumia hii mnyama ya benz, mbona alikuwa muongo alafu akili mbovu. Anadai ati 'la Bongo hilo' wakati nambandikiza ya KE original. Yeye yuko Google, kuiba picha za benz na kuzileta hapa bila kujua kuna wasee wa intelligence hapa, haha. Hebu ajitokeze aombe msamaha kabla hajakula kibiti!!! Kudadadeki zake!!! Utopolo wa hali ya juu!!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
A Mercedes-Benz Tourismo Coach (formerly designated as the Mercedes-Benz O 350) demonstrator, seen at the Bustival event, Havenstreet, Isle of Wight, celebrating the 80th anniversary of Southern Vectis. It's a 3rd generation version of M/2, since its initial(Tourismo) introduction in 1994.
View attachment 1759193
Ana edit picha anaandika "Utopolo"???![]()
![]()
Mpaka plate unafuta, ndugu zetu vipi huko?
![]()
alisikika mlevi mmoja akiongeaMaisha ya kenya ni magumu kw wageni km nyie watz, mtanzania akija kenya atakufa njaa manake kila kity kitamshinda kuanzia bills mpka bidhaa na huduma zingine na wakaati mkenya wa kawaida akija tz ana mudu na kuwekewa heshima kitaani..
Stay to your lane please!!





Fikra za kichawi, sijaona wivu kiasi hichi walaiInakaa kama chasis ya Ashok Leyland vile?
![]()
Maana Mercedes Benz coaches hukaa hivi
![]()
True Mercedes Benz coach
Kwn uliambiwa GDP ndio maendeleo, nyie kweli mabwege..Well said comrade
Tunatakiwa Kuja na standard yenye mantiki kwenye kupima maendeleo ya nchi na sio gdp
Wenzenu wachuuzi wa gikomba kutoka tanzania wanaishi kw slums, madanguro yenu yaliyotokea hko yaniashi slum areas..alisikika mlevi mmoja akiongea
pumba.com


Hujambo mzwe wa kurura twitter kw vpnIko wapoi evidenvemate yametoka kwenye makalio


What about the welfare of the citizens?GDP ndio kila kitu linapokuja swala la uchumi katika nchi, na ukumbuke nchi yenye uchumi imara kupata maendeleo haikawii bora mpate kiongzoi bora tu..
We unafikiria kenya bila ufisadi sai tungelikua wapi ki nchi licha ya skendo zote zile, yani ukanda huu ingelikua hamtugusi jomba wenzetu wangelikua akina sauzi sema tu viongozi wanatubwaga lkn hapo hapo ma lazy tunawagonga
Mercedes Benz niLeo nataka kumkamata mjinga
Mercedes benz ni nn tuanzie hapo, leo nataka nikutoe matongo tongo kuhusu gari na body..
Manake sisi km kenya tunajiundia body, buy kenya build kenya![]()


India inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya maskini duniani, Japan ina watu wenye kipato kikubwa kuwazidi MarekaniElimu yenu mbovu sana, yani hata kusoma uelewe huwezi..we unafikiria india haina uwezo wa kujenga miundombinu km ya japan..
Uchumi wao ni mkubwa na una wawezesha, tatizo uongozi mbovu na mfumo wao no mbovu pia..
Yani unakuja kujibu kw point za kijinga sana