Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe lazy guy, evidence yote hadi links ziko huko juu tayari, fanya kazi ya kusoma acha porojo na povu jingi! 🤣
Lazy hawa hapa hawana chakula🤣🤣🤣
Screenshot_20210421-191937.png
 
Pwahahaha, basi ka wajua wasomesheni ndugu zenyu wamejaa 'poop' kwa ubongo. Wanadai Isuzu ni kampuni ya Kenya! 🤣 🤣 🤣
Nauliza kampubi ya mobius imeuza gari kwa nani na imetengeza faida kiasi gani ukipata jawabu nitag 😁😁😁😁
 
Nauliza kampubi ya mobius imeuza gari kwa nani na imetengeza faida kiasi gani ukipata jawabu nitag 😁😁😁😁
Na nikakwambia, am not the fckg marketing manager of the company, so don't bother, you won't get shit from me. Ka una ubea sana, nenda kwa website yao, dadeki!
 
Na nikakwambia, am not the fckg marketing manager of the company, so don't bother, you won't get shit from me. Ka una ubea sana, nenda kwa website yao, dadeki!
🤣🤣🤣🤣🤣 failed company in a failed state porojooooo kibaoooooo
 
Wenzenu wachuuzi wa gikomba kutoka tanzania wanaishi kw slums, madanguro yenu yaliyotokea hko yaniashi slum areas..

Narudia tena, mtanzania wa kawaida maisha ya kenya hayamudu hata kwa chembe we ukitaka lia sasa
Hayawezi kweli, cc tushazoea maisha tunagusa tu imooo, hatujaja kuteseka duniani hapa tuanze kushindana ugumu wa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom