Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akili yako pumba sana, aliyesema ni ya kenya ni nani, wako na branch Kenya, eka hiyo kwa akili yako finyu. Alafu ujue wenye kampuni wakitaka kufungua pahali popote pale, hawana shida, hela ipo, kijana.
Hata wakichoka na Kenya watatoka na wengine kuchukua nafasi hiyo! 🤣
👇👇👇👇👇👇chukua somo hapa
Kwani isuzu ni kampuni ya japan?? Hvi kuna sababu gani yakugungua tanzania wakat kenya ipo?? Na kenya ni pua na mdomo kwann waje tanzania mm nakwambi biashara ya isuzu kenya ilishafika kikomo 😅😅
 
Nimekuuliza, what's the cause of panicking, wakati naona maajabu... On.. Off... Zipelekeni kwa fundi Johny! Dadeki! 🤣 🤣 🤣
Where is evidence kwamba tuamini porojo ulizoongea ni sahihi 😂😂😂😂 unaongelea moboius toka zimetengezwa nani na nani wamenunua au ni failed projects
 
Akili yako pumba sana, aliyesema ni ya kenya ni nani, wako na branch Kenya, eka hiyo kwa akili yako finyu. Alafu ujue wenye kampuni wakitaka kufungua pahali popote pale, hawana shida, hela ipo, kijana.
Hata wakichoka na Kenya watatoka na wengine kuchukua nafasi hiyo! 🤣
Maeneno mengiiiii porojo kibaoooo matumaini kibaooo ukiombwa evidence unalia 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inakaa kama chasis ya Ashok Leyland vile?

bloombergquint%2F2020-03%2F361ceda0-ce31-4cc8-8d51-e2a161549bdb%2Findia_truck_image.jpg

Maana Mercedes Benz coaches hukaa hivi
maxresdefault.jpg
@komora096 njoo uone Benz
 
aongoze tuu SI raisi wangu!!

ila lete model ya hii sufuria hapa View attachment 1759152
Olaa, nimerudi tena! 😂 Yule jamaa yenyu,(labda hata ni wewe) aliyenitumia hii mnyama ya benz, mbona alikuwa muongo alafu akili mbovu. Anadai ati 'la Bongo hilo' wakati nambandikiza ya KE original. Yeye yuko Google, kuiba picha za benz na kuzileta hapa bila kujua kuna wasee wa intelligence hapa, haha. Hebu ajitokeze aombe msamaha kabla hajakula kibiti!!! Kudadadeki zake!!! Utopolo wa hali ya juu!!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

A Mercedes-Benz Tourismo Coach (formerly designated as the Mercedes-Benz O 350) demonstrator, seen at the Bustival event, Havenstreet, Isle of Wight, celebrating the 80th anniversary of Southern Vectis. It's a 3rd generation version of M/2, since its initial(Tourismo) introduction in 1994.

Screenshot_20210421_135723.jpg

Ana edit picha anaandika "Utopolo"??? 😂 😂 😂 Mpaka plate unafuta, ndugu zetu vipi huko? 😂
 
Ninyi hamna maisha mazuri kuwazidi Namibia, Botswana, Eswatini, Angola na hata Rwanda lakini cha ajabu eti mpo juu yao how? Mimi kipimo changu cha maendeleo ni provisions of social services and common citizens well-being

Masikini wa mwisho kutoka hayo mataifa akija Kenya ni mtu mwenye kipato cha wastani

Miundombinu na huduma za jamii, urahisi wa maisha kutoka kwenye hayo mataifa ukilinganisha na nchi ya nairobi (sababu Kenya ni nairobi tu) ni mbinguni na kuzimuni

That's why mpo nafasi msiostahili kabisa especially kwa sisi tunayoijua Kenya ilivyo na maisha magumu
Bro, take it from me. Mtanzania wa kawaida ana maisha mazuri kuliko mkenya wa kawaida. Iko hivyo kwa kila daraja. Tajiri wa Bongo yuko far better off kwa tajiri wa kikenya. Hata maskini wa Tanzania anayeshindia michicha na ngunyani alivyopanda upenuni yuko far well off ikilinganishwa na masikini wa Kenya.

GDP ya Kenya ni at the expense of maisha ya wananchi wengi tofauti na Tz ambako kwa sehemu kubwa uchumi ni shirikishi na tunagawana umaskini bila pengo kubwa. GDP ya Kenya iko owned na watu wachache sana.
 
GDP ndio kila kitu linapokuja swala la uchumi katika nchi, na ukumbuke nchi yenye uchumi imara kupata maendeleo haikawii bora mpate kiongzoi bora tu..

We unafikiria kenya bila ufisadi sai tungelikua wapi ki nchi licha ya skendo zote zile, yani ukanda huu ingelikua hamtugusi jomba wenzetu wangelikua akina sauzi sema tu viongozi wanatubwaga lkn hapo hapo ma lazy tunawagonga
Aliyekwambia GDP ndiyo kila kitu itakuwa alijua kuwa wewe hupokea chochote usikiacho. India ina GDP kubwa kuliko Uingereza na Japan. Unadhani maisha ya hizo Jamii yanakaribiana? Nyie mnayo GDP kubwa ila maisha yenu magumu kuliko hata Wamalawi ambao ni LDC.
 
Kwani isuzu ni kampuni ya japan?? Hvi kuna sababu gani yakugungua tanzania wakat kenya ipo?? Na kenya ni pua na mdomo kwann waje tanzania mm nakwambi biashara ya isuzu kenya ilishafika kikomo 😅😅
Hivi pia wataka kulazimisha Isuzu iwe kampuni ya Kenya, loh, wee boya kweli!

Isuzu Motors Ltd, is a Japanese commercial vehicle and diesel engine manufacturing company headquartered in Tokyo. 👆😁
 
Niaje wakuu.

Leo naomba tusiache kuangalia TBC1 tatu kamili usiku. Yule MD wetu mzalendo wa TPDC Dr.James Mataragio atakuwa on table na Dr. Ayoub Rioba.

Mada itahusu manufaa yatakayopatikana kutokana na mradi wa bomba la mafuta (Hoima - Tanga).

Japo manufaa yanafamika ila kuna "madini" mengi ya kupata kutoka kwa watu kama hawa hasa wanapohojiwa na wanahabari wazalendo.

Natamani Dr. Rioba achomekee ishu ya gesi ili tupate walau majibu kidogo ya yale maswali yetu yanakosaga majibu humu.

Kwa wasiomjua Dr. Mataragio. Iko hivi: Huyu mkali ndiye yule alisimamishwa na bodi ya TPDC mwaka 2017 wakimtuhumu kwa "utendaji hafifu". Come 2019 mwamba JPM kausoma mchezo wao kwamba jamaa ndiye alikuwa kikwazo kwa mpango wao wa kuuza/kugawa vitalu viwili vya gesi ambavyo viliponea chupuchupu enzi za uhuru wa manyani.

Come 2021 huyu bi mdashi wenu alimla kichwa usiku. Kufika asubuhi kamrejesha kitengoni maana ilikuwa aibu.

Note kwa wanetu wa Kenya:

Hiki kipindi naomba nyie pia mtazame maana faida za hii project haziishii kwetu tu. Total watajenga facilities Tanga ambazo zitawanufaisha nyinyi pia. Badala ya kuimport Petro products kutoka Ulaya na Middle East, nao mtakuwa mnakuja tu Tanga one time.
 
Kwani isuzu ni kampuni ya japan?? Hvi kuna sababu gani yakugungua tanzania wakat kenya ipo?? Na kenya ni pua na mdomo kwann waje tanzania mm nakwambi biashara ya isuzu kenya ilishafika kikomo 😅😅
Isuzu ni Mmarekani GM? Nimekuta ni Mjapan mmarekani alijitoa!
 
Bro, take it from me. Mtanzania wa kawaida ana maisha mazuri kuliko mkenya wa kawaida. Iko hivyo kwa kila daraja. Tajiri wa Bongo yuko far better off kwa tajiri wa kikenya. Hata maskini wa Tanzania anayeshindia michicha na ngunyani alivyopanda upenuni yuko far well off ikilinganishwa na masikini wa Kenya.

GDP ya Kenya ni at the expense of maisha ya wananchi wengi tofauti na Tz ambako kwa sehemu kubwa uchumi ni shirikishi na tunagawana umaskini bila pengo kubwa. GDP ya Kenya iko owned na watu wachache sana.
Well said comrade

Tunatakiwa Kuja na standard yenye mantiki kwenye kupima maendeleo ya nchi na sio gdp
 
Niaje wakuu.

Leo naomba tusiache kuangalia TBC1 tatu kamili usiku. Yule MD wetu mzalendo wa TPDC Dr.James Mataragio atakuwa on table na Dr. Ayoub Rioba.

Mada itahusu manufaa yatakayopatikana kutokana na mradi wa bomba la mafuta (Hoima - Tanga).

Japo manufaa yanafamika ila kuna "madini" mengi ya kupata kutoka kwa watu kama hawa hasa wanapohojiwa na wanahabari wazalendo.

Natamani Dr. Rioba achomekee ishu ya gesi ili tupate walau majibu kidogo ya yale maswali yetu yanakosaga majibu humu.

Kwa wasiomjua Dr. Mataragio. Iko hivi: Huyu mkali ndiye yule alisimamishwa na bodi ya TPDC mwaka 2017 wakimtuhumu kwa "utendaji hafifu". Come 2019 mwamba JPM kausoma mchezo wao kwamba jamaa ndiye alikuwa kikwazo kwa mpango wao wa kuuza/kugawa vitalu viwili vya gesi ambavyo viliponea chupuchupu enzi za uhuru wa manyani.

Come 2021 huyu bi mdashi wenu alimla kichwa usiku. Kufika asubuhi kamrejesha kitengoni maana ilikuwa aibu.

Note kwa wanetu wa Kenya:

Hiki kipindi naomba nyie pia mtazame maana faida za hii project haziishii kwetu tu. Total watajenga facilities Tanga ambazo zitawanufaisha nyinyi pia. Badala ya kuimport Petro products kutoka Ulaya na Middle East, nao mtakuwa mnakuja tu Tanga one time.
Ila ukweli usemwe TBC na hasa Rioba a me play part kubwa sana kwenye kuchochea uzalendo wa Tanzania toka JPM amuweke pale, contents za tbc zimekua ni tanuru la uzalendo mwanzo mwisho

Rafiki yangu wa Tanzania Mpya program ya TBC atakua defeated sana na hili zahama lililotukuta wazalendo

Asante kwa hii taarifa nzuri lazima niwe online wakati huo, nitavunja ratiba zote.
 
Back
Top Bottom