Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku Tanzania itakuwa juu ya Kenya ntajinyonga
13418830_tapatalk1618858981013_png061d4a836f1b1c96e1e37afb97491eff.png
 
Naona unadunga hawa watu sindano mzito kabisa. Endelea vivyo hivyo. Wajue Tanzania sio ligi ya Kenya. Wao bado wanacheza baby league.
Msaidie kuleta evidence kwa alioleta alaf umsifu sasa 😅😅😅😅
 
Hizi treni za umeme kila siku tunahubiriwa kuwa zitakuja. Ila sasa dates zinavyokuwa postponed aisee... It makes me think that something has gone horribly wrong. At least hata watuonyeshe picha zake kama walivyokuwa wanaonyesha picha za ndege za ATCL wakati bado hazijakabidhiwa nchini.
Muda haujafika kuna techniques za kimaendeleo mzee tulia 🤣🤣🤣
 
Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
Nakuunga mkono, sis shughuli za ufukweni mwa bahari(bandari) ndixo za tupsisha jiji lionekane bomba
 
Hehehe... Inauma najua. Pole mkuu, sio kupenda kwetu! 🤣 🤣 🤣
Nimecheka sana leo kwamba kemya ndio mutemgeze body za benz 😂😂😂😂😂 naona mumeumia kuona huku benz zinatumiaka na ziko za kutosha
 
Wewe lazy guy, evidence yote hadi links ziko huko juu tayari, fanya kazi ya kusoma acha porojo na povu jingi! 🤣
Hii ndio evidence ya zile porojo 🤣🤣🤣👇👇 unatafuta pakutokea hapa hutoki mzeee leta evidence kwa porojo zote ulizoongea
 
Back
Top Bottom