President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,022
- 93,384
Hahahaha. Wameletewa mitumba. Yaani vyuma chakavu. Ndio maana yanaua watu kila siku.Bei ya Airbus H225 Eurocopter ni $ 29.5 Million U.S.
Bei ya MD-530 ni $ 1.3 million U.S.
Yaani kwa hesabu za haraka haraka pesa ya Airbus Eurocopter H255 unaweza nunua MD 530 zaidi ya 20 [emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania imenunua hizo kama 5 hivi maana yake ni MD-500, zaidi ya 100