Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Wacha wenye ujuzi waje! 🤣
Wacha wenye ujuzi waje! 🤣
Hii battle mnafanya too general and easyHata bendera ya UG ingeanza, mgesema Tahmeed ya kwa M7!
Tukitoka hapo tuhamie kwenye bus terminalsHii battle mnafanya too general and easy
Kama una ubavu wa kupambana na Tanzania kweli kwenye usafiri wa mabus unachotakiwa kufanya ni kuleta luxury busses zinazofanya safari zake kutoka nairobi au Mombasa au Kisumu kwenda
1 Wajir
2 West Pokot
3 Turkana
4 Samburu
5 Isiolo
6 Mandera
7 Garissa
8 Lamu
Leta hapa luxury bound Buses zinazotoa huduma zake kwenye hayo maeneo kisha na wewe useme na sisi tulete luxury Buses zinazofanya safari kwenye masafa kama hayo kwa upande wa Tanzania
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni mshamba sijawahi ona sasa hilo sabuffer ndiyo nini...Mwataka nini tena? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1756489
View attachment 1756490
View attachment 1756491
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekuuliza huyu ni wewe?
View attachment 1756493
Haha, naona umechagua specific regions with a reason, wacha nikuache tu.Hii battle mnafanya too general and easy
Kama una ubavu wa kupambana na Tanzania kweli kwenye usafiri wa mabus unachotakiwa kufanya ni kuleta luxury busses zinazofanya safari zake kutoka nairobi au Mombasa au Kisumu kwenda
1 Wajir
2 West Pokot
3 Turkana
4 Samburu
5 Isiolo
6 Mandera
7 Garissa
8 Lamu
Leta hapa luxury bound Buses zinazotoa huduma zake kwenye hayo maeneo kisha na wewe useme na sisi tulete luxury Buses zinazofanya safari kwenye masafa kama hayo kwa upande wa Tanzania
Vituko mnavitamani! 🤣 🤣 🤣[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni mshamba sijawahi ona sasa hilo sabuffer ndiyo nini...
unatuletea vituko
Baba hao msibishane nao.. boss yupo tanga saivi anasubiria Futari... waache wajikoshe
Anza na Turkana na mimi nianze na Kigoma sababu geographically Turkana kwa kenya ipo located as kigoma kwa TanzaniaHaha, naona umechagua specific regions with a reason, wacha nikuache tu.
Chukua hiyo luxury shuttle matatu hapo chini! 👇
View attachment 1756651
View attachment 1756652
View attachment 1756654
View attachment 1756655
Mzee wewe ni mgeni humu, Tukiita vita ni vita. Hawa wakenya huwajui wewe.Ila wadau mnafeli sasa kuanzaa kushindanisha sura za watu tujikite kwwnye hoja tuu kushindanisha vitu Ila sio watu wanangu
Well said!Ila wadau mnafeli sasa kuanzaa kushindanisha sura za watu tujikite kwwnye hoja tuu kushindanisha vitu Ila sio watu wanangu
Tushindane kwa hoja ondeoa ujinga. Leta vitu kwa evidences na siyo umbea.Well said!
Unatoa povu kwa kuambiwa ukweli, unaleta picha ati mtu hana sura nzuri, ilhali in real life humfiki hata robo ya robo na huo uzuri wenyuMzee wewe ni mgeni humu, Tukiita vita ni vita. Hawa wakenya huwajui wewe.
Unatakiwa umpige pale panapouma. Hawa ni wajinga mno ukiwachekea.
Huko mbona tulipita, tugange yajao.Tushindane kwa hoja ondeoa ujinga. Leta vitu kwa evidences na siyo umbea.
Tukija hapa:-
TPDF vs KDF
Tunawachakaza nje ndani.
Chuma cha Kigoma Mwanza hichoWell said!