Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Anza na Turkana na mimi nianze na Kigoma sababu geographically Turkana kwa kenya ipo located as kigoma kwa Tanzania
Leta bus kutoka any of your major cities zenye standard kama hii kwenda Turkana
Note, hapo ni kigoma bus terminal hivyo na Turkana bus terminal iwe featured kwenye pictures zako ili twende sambamba
Hayo makampuni ya mabasi yatakuwa yanatia kambi yakingoja nani? 😂 Hata akili kidogo tu kutumia kunakushinda!
Angalia tofauti hapo ya Kigoma na Turkana!!!