Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kwani kuna taifa lisilojua kuwa mambo hayaendi mbele...Sina time ya kushindana na wasiojua kitu, endeleeni kukaa kambini mkijimwambify vita vya "past". Mambo yanaenda mbele /yanabadilika!
wacha ushamba

